Uchaguzi 2020 Polepole: CHADEMA walichapisha kura feki ili kuvuruga Uchaguzi Mkuu

Hata Kama chadema wasingeshinda basi iwe kihalali.
Hyo haihalalishi WIZI WA KURA ULIOFANYWA.
Cha ajabu magufuli anasema uchaguzi umekwisha.kweli?
Mnachukulia vitu kirahisi rahisi kana kwamba hamuoni huu udanganyifu uliofanywa?hata Kama chadema wanahusika na kura feki kwanini MSIWACHUKULIE HATUA?kwanini ili Jambo la kura feki lizidi kututesa kila uchaguzi.nani yupo nyuma ya hizi kura feki? Anamsaidia Nani?na kwanini NEC wamekaa kimya mpaka leo hawajachukua hatua yoyote?.
Mna sababu zipi za kutuaminisha kuwa magufuli,NEC ,zec na ccm HAWAHUSIKI NA KURA FEKI?
 
Hayo ni maamuzi yako binafsi, una haki ya kufanya unavyotaka na pia una haki yakutoa maoni yako pale unapoona kuna mapungufu kwa kufuata taratibu za nchi bila kufanya maandamano yasiyo na kikomo bila kuwa na kibali kutoka kwa mamlaka husika.
 
Kwanini hao CCM wasifuate hizo taratibu za nchi?
Kwani kuiba kura NI halali kwa taratibu za nchi?
Hayo ni maamuzi yako binafsi, una haki ya kufanya unavyotaka na pia una haki yakutoa maoni yako pale unapoona kuna mapungufu kwa kufuata taratibu za nchi bila kufanya maandamano yasiyo na kikomo bila kuwa na kibali kutoka kwa mamlaka husika.
 
Kwanini hao ccm wasifuate hizo taratibu za nchi?
Kwani kuiba kura NI halali kwa taratibu za nchi?
CCM hairuhusiwi kuiba kura.
Swali lako la pili NEC wameshakujibu maswali yako. Rejea post zangu nilizokujibu tayari
 
Zipo post nyingi .ebu nikumbushe NEC wamejibu nini kuhusu kura feki?.
Mana ninachojua Mara ya kwanza walikataa kuwa HAKUNA KURA FEKI.
Wametoa taarifa nyingine?
CCM hairuhusiwi kuiba kura.
Swali lako la pili NEC wameshakujibu maswali yako. Rejea post zangu nilizokujibu tayari
 
Wanaojitoa ufahamu ni NEC , masheikh wa nchi hii, CCM, IGP ,CDF Polisi na CCM wote kwa ujumla.
Hao ndo wanaojitoa UFAHAMU.
Majibu ya maswali yako unayo tayari usijitoe ufahamu hapa
 
Zipo post nyingi .ebu nikumbushe NEC wamejibu nini kuhusu kura feki?.
Mana ninachojua Mara ya kwanza walikataa kuwa HAKUNA KURA FEKI.
Wametoa taarifa nyingine?
Samahani siwezi kurudia kitu ambacho tayari nimeshakujibu. Una muda wa kutype kunijibu kwenye simu yako, ila huna muda wa kupitia post nilizokujibu!!! Dishi limeyumba hapo
 
muache wizi MTAKUJA kuulizwa na wajuu zenu uzeeni.mlikuwa na akili gani mpaka mtetee wizi wa kura?.
Kwa heri tafakari,chukua hatua.[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Una haki ya kutoa mtazamo wako
 
Nilikuwa nakutega tuu.
NEC walikataa kuwa hakuna kura feki zilizokamatwa.
Sasa pole pole anaposema kura feki waliozitengeneza ni chadema SASA SIJUI ANABISHANA NA MWENYEKITI WAKE WA TUME YA UCHAFUZI.
mtajua wenyewe.
Ila UJAMBAZI ACHENI.
Samahani siwezi kurudia kitu ambacho tayari nimeshakujibu. Una muda wa kutype kunijibu kwenye simu yako, ila huna muda wa kupitia post nilizokujibu!!! Dishi limeyumba hapo
 
muache wizi MTAKUJA kuulizwa na wajuu zenu uzeeni.mlikuwa na akili gani mpaka mtetee wizi wa kura?.
Kwa heri tafakari,chukua hatua.[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Na wewe pia utakuja kuulizwa na wajukuu zako uzeeni kwann mliuza nchi kwa Bob Amsterdam (makaburu), mabeberu na wakoloni.
Amka kwenye huo usingizi uliolala na ufanye tathmini kwa kina.
 
Tathmini ya kura feki?.
Mwenyekiti wa tume anakataa kuwa hakuna kura feki,.
Ila katibu wa ITIKADI na uenezi wa ccm.
ANASEMA KURA FEKI ZIMETENGENEZWA NA CHADEMA.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ..
HUU UCHAFUZI ULIKUWA NA VITUKO SAANA.
Na wewe pia utakuja kuulizwa na wajukuu zako uzeeni kwann mliuza nchi kwa Bob Amsterdam (makaburu), mabeberu na wakoloni.
Amka kwenye huo usingizi uliolala na ufanye tathmini kwa kina.
 
Umekutana na chuma hapa, tena chuma hiki hata ukikimwagia maji hakiingii kutu. Niko makini sana na hoja zako. Mm siitwi mjingamimi Said, naitwa Cheusi au Chesi20.
Nadhani umenielewa.
 
Tathmini ya kura feki?.
Mwenyekiti wa tume anakataa kuwa hakuna kura feki,.
Ila katibu wa ITIKADI na uenezi wa ccm.
ANASEMA KURA FEKI ZIMETENGENEZWA NA CHADEMA.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ..
HUU UCHAFUZI ULIKUWA NA VITUKO SAANA.
Usitafakali au kutathmini uchaguzi wa 2020 Tanzania tu, nakushauri utafakari pia uchaguzi wa USA 2020.
Ukimaliza kufanya tathmini ya uchaguzi wa nchi hizo mbili uliofanyika mwaka huu, jiulize kwann kuna mfumo wa vyama vingi duniani?
Nini faida na hasara za mfumo wa vyama vingi? Ukimaliza kufanya tathmini ya faida na hasara za mfumo wa vyama vingi, tathmini kwa kina madhara ya mfumo huo, kisha uniambie kama unaona kweli mfumo huo unaleta demokrasia au migogoro endelevu isiyokua na mwisho mwema.
 
Akili zingine mtambo. Kama cdm wanaweza Hadi chapisha kura feki na TIS wasijue Basi ifutwe.
 
Uchaguzi umekwisha, eti wamekimbilia Ubelgiji kupakatwa na wazungu. Hasira hizi jamani kweli ni hasara.
 
Utaishi maisha ya taabu sana ukiishi katika uzandiki na uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…