Uchaguzi 2020 Polepole: CHADEMA walichapisha kura feki ili kuvuruga Uchaguzi Mkuu

Amani iwe nanyi

Mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi, shujaa Humphrey Polepole wakati akijibu swali la kukamatwa kura feki huko Kawe na baadae kuchomwa moto na wananchi amesema makaratasi hayo ya kura feki yalichapishwa na CHADEMA na baadae wakayasambaza wenyewe kwenye vituo vya kupiga kura na kisha wakayakamata wenyewe na kuyachoma moto wenyewe kwa lengo la kuvuruga uchaguzi mkuu wa mwaka huu!!

Polepole amehoji kama hizo ni karatasi kutoka NEC kwa nini wazichome moto? Kwa nini CHADEMA hizo kura feki hawakuzipeleka polisi kwa uchunguzi?

Hayo mabegi ya kura feki kwa nini aliyekuwa nayo walimkamata na kumwachia?
Huyu jamaa ni mental retard. It's ironical kuwa eti ndiye msemaji wa chama kilichoshika dola.
 
Stupidity comedian Mr. Polepole.

Hivi amesahau kuwa polisi ndio waliokuwa wakiwalinda hao vijana waliobebeshwa kura feki za Jiwe pindi walipotaka kuchomwa moto!!!
Walizikuta wapi na Kwa nani??? Na walijuaje Hadi wakazifuma?

Huwenda kuna ukaweli mkuu
 
Kama ni kweli, mbona wote waliokamatwa na hizo kura feki hawajachukuliwa hatua mpaka sasa...

Cc: mahondaw
 
Kama upinzani uta acha kujitathmini na kuamini walishindwa kwa kuibiwa kura kamwe hawata weza kuishinda CCM.

Hata leo hii uchaguzi ukirudiwa Upinzani hauwezi kupata Viti zaidi ya Vitano, upinzani ni dhaifu sana.
Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
 
Amani iwe nanyi

Mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi, shujaa Humphrey Polepole wakati akijibu swali la kukamatwa kura feki huko Kawe na baadae kuchomwa moto na wananchi amesema makaratasi hayo ya kura feki yalichapishwa na CHADEMA na baadae wakayasambaza wenyewe kwenye vituo vya kupiga kura na kisha wakayakamata wenyewe na kuyachoma moto wenyewe kwa lengo la kuvuruga uchaguzi mkuu wa mwaka huu!!

Polepole amehoji kama hizo ni karatasi kutoka NEC kwa nini wazichome moto? Kwa nini CHADEMA hizo kura feki hawakuzipeleka polisi kwa uchunguzi?

Hayo mabegi ya kura feki kwa nini aliyekuwa nayo walimkamata na kumwachia?
Huu upumbavu wa shetani polepole ndiyo umeipelekea CCM ikakosa kura ndipo wakaamua kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
 
Amani iwe nanyi

Mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi, shujaa Humphrey Polepole wakati akijibu swali la kukamatwa kura feki huko Kawe na baadae kuchomwa moto na wananchi amesema makaratasi hayo ya kura feki yalichapishwa na CHADEMA na baadae wakayasambaza wenyewe kwenye vituo vya kupiga kura na kisha wakayakamata wenyewe na kuyachoma moto wenyewe kwa lengo la kuvuruga uchaguzi mkuu wa mwaka huu!!

Polepole amehoji kama hizo ni karatasi kutoka NEC kwa nini wazichome moto? Kwa nini CHADEMA hizo kura feki hawakuzipeleka polisi kwa uchunguzi?

Hayo mabegi ya kura feki kwa nini aliyekuwa nayo walimkamata na kumwachia?
Jamani kama kweli kuna moto wa Jehanam, kama maandiko yasemavyo, huyu PolePole ajitahidi kukwepa asiishie huko, maana kajamaa haka kaongo hata shetani hakafikii...
 
Amani iwe nanyi

Mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi, shujaa Humphrey Polepole wakati akijibu swali la kukamatwa kura feki huko Kawe na baadae kuchomwa moto na wananchi amesema makaratasi hayo ya kura feki yalichapishwa na CHADEMA na baadae wakayasambaza wenyewe kwenye vituo vya kupiga kura na kisha wakayakamata wenyewe na kuyachoma moto wenyewe kwa lengo la kuvuruga uchaguzi mkuu wa mwaka huu!!

Polepole amehoji kama hizo ni karatasi kutoka NEC kwa nini wazichome moto? Kwa nini CHADEMA hizo kura feki hawakuzipeleka polisi kwa uchunguzi?

Hayo mabegi ya kura feki kwa nini aliyekuwa nayo walimkamata na kumwachia?

Kura feki zimekamatwa chini ya polisi. Hakuwaona!!!
 
Stupidity comedian Mr. Polepole.

Hivi amesahau kuwa polisi ndio waliokuwa wakiwalinda hao vijana waliobebeshwa kura feki za Jiwe pindi walipotaka kuchomwa moto!!!
Aliyezichoma moto ni CCM aliyejifanya mpinzani akatumia ule mwanya kufuta ushahidi haraka haraka
 
Ngoja nikuambie kitu bwana mdogo.
Ni wapumbavu na matahira kama wewe ambao wanaweza kukubaliana na huu upumbavu wa CCM.
Huo upumbavu wa CCM ndiyo imepelekea ikakosa kura na kuamua kuubaka kuunajisi kuulawiti kuubaka uchaguzi huu kwa njia haramu za kishetani
 
CHADEMA walitoa wapi mihuli yamoto inayopatikana NEC? Na kama ni kweli kwa nini waliokamatwa polisi haikuwachukulia hatua hata kama ni CHADEMA wenyewe, na je kwa nini mwenyekiti wa tume alisema hakuna kura fake zilizokamtwa?

Tukutane kesho tarehe 2 barabarani, hii ni nchi yetu sote, nawala si ya CCM peke yao.
Ukienda barabarani, pita pembeni usinizibie njia wakati mimi napita na mkokoteni wangu nisije nikalazima kupita juu ya mwili wako ili kuwahi mkate wangu wa kila siku!
 
Pumbavu. Polepole ni jinga kabisa. Kura feki zimekamatwa chini ya polisi. Hakuwaona!!!
Tatizo la polepole amewadharau watanzania anawaona ni wajinga kabsa akijiona ni mjanja wakati watanzania wana Akili timamu kuliko yeye mchumia Tumbo aliyejitoa fahamu zote.
 
Ndio ukweli, yeye Halima Mdee alikwendaje moja kwa moja kwenye begi lenye kura fake? Alilitambuaje? Kama hakupanga mpango huo?
Haya maswali ya kibwege muwe mnaulizana huko kwenye gheto la cyprian Musiba mnaposhinda mkivuta Bangi, yaani hujui maana ya Hujuma kuvuja? Ukiwa unahujumu Mungu huwaonyesha watu wema hujuma zako kwa namna moja au nyingi
 
Back
Top Bottom