econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Umesahau enzi za jiwe kila mitandao ilipigwa pini?
Samiah alikuwa Makamu wake wa Rais
Umesahau enzi za jiwe kila mitandao ilipigwa pini?
Walimuua Ili wasimike usultani Tanzania, hii haikubaliki. Kamekaa kutwa kutembelea nyota ya mwamba kudadadekiAfadhali ya Magu alitawala kwa mkono wa chuma lakini angalau tuliona uelekeo wake wa kuliletea neema taifa, lakini siyo kwa huyu mama leo hata mwanao huwezi kumwambia kile sa100 kafanya hata dira yake haijulikani zaidi ya kutamba na miradi ya Magu.
Ngoma ya wachawiSamiah alikuwa Makamu wake wa Rais
Yeye ni mhuni tu Kama mimiTuliza kichwa utamwelewa Polepole. Wewe ni wale wahuni bila shaka.
Taahira kweli wewe!..Mental health is real
Hakuna kipindi Tanzania Ilikua kamq idara ya zimamoto kamq enzi Za magu
Dogo is confused
Taahira mama yakoTaahira kweli wewe!..
Usimlinganishe mwamba Magu na mafiii
Siku ya uchafuzi watazima internet mpaka wajitangaze na kujiapishaHumphrey Polepole amesema "Hatuwezi kuwa nchi inaendeshwa kama idara ya 'Fire', tunataka mtu ambaye anchukizwa na ulegelege huu"
View attachment 3426430
Chawa wa kiarabu weweTaahira mama yako
Kwa Magu mitandao ilizimwa kipindi cha uchaguzi tu sasa huyu mama yenu anamwogopa Polepole na kufunga mitandao kwenye ya watu zaidi ya mil60Umesahau enzi za jiwe kila mitandao ilipigwa pini?
Usiku huu naona na Facebook kama imepigwa pin, kichekesho wanafunga alafu na wao wana-post Kila siku ma-vitu Yao (taarifa Kwa umma) which means wanatumia VPNUmesahau enzi za jiwe kila mitandao ilipigwa pini?
Zimamoto ( fire department)Idara ya Fire 🔥 ndio ipi?
Huyu V8 ana yake na si bure,wakati wa mjomba Magu alifagilia "kila kitu kiwe kizuri au kibaya"Alikuwa full shangwe.Mental health is real
Hakuna kipindi Tanzania Ilikua kamq idara ya zimamoto kamq enzi Za magu
Dogo is confused
Enzi jiwe jamii forum ilihamishiwa kenya talk huko,au ww mgeni hapakinachokera ni huku kufungia mitandao....ipo siku internet yote itazimwa
fuc***n sana waafirika
jiwe,na wengine wote fu****n......sasa wanavofungia mitandao mi kama mwananchi napata faida gani??Enzi jiwe jamii forum ilihamishiwa kenya talk huko,au ww mgeni hapa