Daah,alianza katibu mkuu watu wakasema hatukumuelewa!Sasa amekuja Polepole kukazia!
Shehe mmoja huko Mombasa amesema Mtume aliwafundisha kuwa endapo utatokea ugonjwa mbaya kama kipundupindu basi walio ndani wasiende nje na walioko nje wabakie huko huko wasiingie ndani. Ameishangaa serikali ya Kenya kuruhusu wageni walioleta Corona.Serously.
Mungu atawapa anguko baya hawa jamaa
Mimi nimemuelewa,
na asiye elewa akapimwe akili.
haya yote ni magizo ya vikao toka juu inaonekana.
Polepole anaongelea mipango ya kitaifa kwa Corona kama nani? Hii nchi ishakuwa ukoo wa Kambale.
Walio responsible wamekaa kimya wanaogopa kuwajibika kwa maneno yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
It is obvious tukizuia watalii hatutaweza kulipa hata mishahara kwa mwezi 1. Kinachopatikana ndicho kinacholiwa.
Mawe wanayowatupia upinzani hao upinzani wanatumia hayo mawe kujiimarisha! View attachment 1393765
Kufananisha vyama pinzani na Corona si jambo la kiungwana na kiashiria cha kutokubali mawazo mbadala.
Unaposhinga kurandaranda huko unashawishi nchi yako iwekewe vikwazo vya kiuchumi unatofauti gani na corona!? Maana hata corona inashadidia vikwazo vya kiuchumi, mfano Kuzuia watalii ambao kwa mwaka wanaingiza zaidi ya $ 2.5 billion.
Wakati mwingine unaweza kutoa siri bila kujua bwashee!Si walisema nchi hii ni tajiri, tuna hela ya kutumia miezi mitano.
Ni kweli uwekezaji na ajira zilizofanyika kwenye sekta ya utalii ni mkubwa sana hivyo hii sekta ikiadhirika kama nchi biashara nyingi sana zitaathirika ikiwemo TRA yenyewe kwa maana ya malengo ya ukusanyaji kodi
Sasa kama ugojwa wa korona ni sawa na upinzani kwa nn upinzani uliruhusiwa.
Hiyo ni chuki binafsi!