#COVID19 Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

#COVID19 Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

Serously.

Mungu atawapa anguko baya hawa jamaa
Shehe mmoja huko Mombasa amesema Mtume aliwafundisha kuwa endapo utatokea ugonjwa mbaya kama kipundupindu basi walio ndani wasiende nje na walioko nje wabakie huko huko wasiingie ndani. Ameishangaa serikali ya Kenya kuruhusu wageni walioleta Corona.

Source Citizen tv!

My take; Hajji Manara ajifunze hapa!
 
Dadeeeki hata kuandika hujui amakweli kuwa mwana lumumba kazi kweli kweli
Unaposhinga kurandaranda huko unashawishi nchi yako iwekewe vikwazo vya kiuchumi unatofauti gani na corona!? Maana hata corona inashadidia vikwazo vya kiuchumi, mfano Kuzuia watalii ambao kwa mwaka wanaingiza zaidi ya $ 2.5 billion.

In God we Trust
 
Mwalimu alisema kuwa ukijenga nyumba huwezi kujua uimara wake hadi pale ukitokea mtikisiko.

Kila kitu kimekuwa planned kwa miaka yao hii na media zilikuwa upande wao hivyo wanaoangalia mambo kwa juu juu walishaghafilika kitambo isipokuwa wale wachache (20% ya waliokubali vyama vingi!!??) wamebakia kuwa 'wasumbufu'!

Sasa kamtikisiko kadogo tu haka ndiko kanatupatia picha halisi kuwa kumbe hatuna haja ya kupoteza muda kumuombea mtu mmoja bali inabidi sote tuombeane.

Sikutarajia observation kama hii kwenye kipindi kigumu kama hiki kutoka kwa mtu anayepandishwa V8 kwa kodi za umma!
 
Back
Top Bottom