Polepole anaongelea mipango ya kitaifa kwa Corona kama nani? Hii nchi ishakuwa ukoo wa Kambale.
Walio responsible wamekaa kimya wanaogopa kuwajibika kwa maneno yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwafananisha opponents wake na corona? Huoni dharau zake zinakwenda kuwapunguzia kura? Boko litawachapa tu oktoba na hamtasalimika kwa kauli zenu za kifedhuli!Kinaongea chama cha ccm
Labda na yeye kwa sasa ni DrPolepole anaongelea mipango ya kitaifa kwa Corona kama nani? Hii nchi ishakuwa ukoo wa Kambale.
Walio responsible wamekaa kimya wanaogopa kuwajibika kwa maneno yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usishangae,hli ndio CCM ya MaguDuh...!.
P
Mpumbavu mwingine huyu!
Umelenga kabisa,si mzima.This man is sick....! Kulingana na mwonekano wake aidha ni mwathirika wa MIWAYA au ni Sicler (A Sicle cell victim.....!)