#COVID19 Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

#COVID19 Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

Kweli huyu ni chakubanga,alipokuwa na njaa alisimama na wenye njaa baada ya shibe amewasahau.Chakubanga aliporudi toka ulaya akajiita John Smith, wimbo wa "chakubanga" wa safari troopers.
 
Huyu ni mtu ambae kabla hajaacha akili zake mlangoni na kuingia sisiemu, alisema katika uchaguzi ulio huru na wa haki, sisiemu haiwezi kushinda.. Sifa ya mwanaume ni kuwa na msimamo, au kuamini kile ambacho anasimamia..

Kama misimamo yake inachagizwa na njaa na maslahi binafsi, basi huyo hana tofauti shoga..
 
Polex2 !!! Kwamba wabunge watapimwa corona kabla kuingia,wakikutwa na chembechembe za corona watazuiwa!! Hajui anachoongea au hajaelewa hata ugonjwa wenyewe.

Kuwa kiongozi wa kisiasa sio unajua kila kitu. Watapimwa joto la miili yao,kama wana mafua,na dalili zingine. Kifupi kama kuna mhisiwa wa homa ya corona,kituo cha kipimo cha kuthibitisha corona ni Dar as salaam
 
Hivi ni kweli polepole hajui kuwa nchi wanaotoka hao watalii anaowategemea kuongoza kipato nchini wapo kwenye karantini ya kutokutoka Wala kuingia nchini mwao kwa waliopo nje? Kama anajua, anawazungumzia watalii kutoka sayari ipi nyingine?

Na hili la kuwafananisha watanzania wenzake wenye itikadi tofauti na yake kwa kuwaita corona mbona mamlaka au serikali haimkemei? Hivi hajui kuwa hata ndani ya ccm wenzake Kuna wasioafikiana na Mambo ya ccm? Kwanini ubaguzi huu uachwe you bila kukemea?

Nimekutakana matusi yote polepole kwani huna hekima Wala busara na ingekupendeza mno ukajiuzulu ili kuilinda chama chako na Boko la oktoba! Ccm amkeni, mnafiki anawabomoa akiwa ndani!
 
Inakuaje kajamaa kanaliongelea bunge as if na kenyewe ni kamuhili chimbifu

"Wabunge kwa sasa wataanza kuchukuliwa vipimo kabla ya kuingia bungeni na kama wakikutwa na chembechembe za virusi vya Corona basi watachukuliwa hatua za awali kuepusha mlipuko huu"
 
lnategemea watalii au wafadhili ?kama majibu yote ni sawa na kale kawimbo kakuiombea nchi yetu tukakirekodi upya "Ee watalii ibarikini Tanzania tuondokane na Covid19" kufuru nyingine we acha tu!
 
Back
Top Bottom