Inaposemwa kuwa sisi ni matajiri ni kweli. Tuna natural resources nyingi sana ambazo ni utajiri kakini hazijatumiwa vizuri kuifanya nchi yetu kuwa tajiri. Sio kwamba tuna mapesa yamaejaa hazina.Sisi ni matajiri sana bwana
In God we Trust
Watalii sijui watoke wapi na wakati Europe na America wamefunga mipaka? Mtikisiko wa kiuchumi haukwepeki asilani. Labda iwe kweli kwamba virusi vile havisavaivu kwenye jua kali na joto ndo wahamie tena Africa.Huyu kenge hajitambui kabisa..anadhani watalii wanaweza ku risk maisha yao kuja sehemu ambayo tayari imeshajitangaza kuwa kuna corona! Angejaribu kwanza kuuliza kwa Tour operators kiasi Cha watalii walio cancel Safari zao ndo angekuja kuongea pumba zake hapa
Yeye si ndo katibu wa uenezi wa chama dola, wakati fulani anaweza kuwa msemaji wa serikali kupitia chama.Polepole anaongelea mipango ya kitaifa kwa Corona kama nani? Hii nchi ishakuwa ukoo wa Kambale.
Walio responsible wamekaa kimya wanaogopa kuwajibika kwa maneno yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwamba upinzani wote umeshaangamizwa. Sasa chuki ya CCM v Upinzani inatoka wapi?Hapa naona wanazidi kuimarisha chuki baina ya CCM na upinzani!
Sasa kama upinzani haupo,inakuwaje kila kukicha hamuishi kuwataja?Inakuwaje huyu anasema upinzani unapaswa kutokomezwa?Kama upinzani umekufa,achieni wafanye siasa na pia achieni ipatikane tune huru!Sio kwamba upinzani wote umeshaangamizwa. Sasa chuki ya CCM v Upinzani inatoka wapi?
Kama mwenyekiti Cdm alizomewa Hai jimboni kwake utasema bado kuna upinzani!