#COVID19 Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

#COVID19 Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

Huyu kenge hajitambui kabisa..anadhani watalii wanaweza ku risk maisha yao kuja sehemu ambayo tayari imeshajitangaza kuwa kuna corona! Angejaribu kwanza kuuliza kwa Tour operators kiasi Cha watalii walio cancel Safari zao ndo angekuja kuongea pumba zake hapa
 
Who's Polepole? Usidhani Corona ina double standards ndugu.....tahadhali ni lazima acha kucheza na maisha ya wenzako, ukidhani kwa nafasi ya maisha uliyo nayo huwezi patwa na janga hili.
Nadhani umepotoka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polepole, hivi unajua Kuna watanzania wapo vyama vya upinzani lakini kura zao huzielekeza ccm? Kwa maana nyingine Hawa huwahitaji Tena kwani ni virusi hatari?

Kuwa cdm Haina maana Kika kitu kilichofanywa na CCM kinapingwa kwani Sera zinazotekelezwa huenda ziliasisiwa na CHADEMA hivyo utekelezaji wake unaeapendeza wote! Kwa mantiki hiyo hukuwa na sababu ya kuwalebe na kuwaita corona!

Ni busara Kama ukimama hadharani uthibitishe kauli yako kwa kuisisitiza na mifano ya kutosha au uombe radhi! Kinyume chake wewe utakuwa sio mtanzania Bali upo kuleta taharuki na mifarakano kwa agenda unazozijua zenye maslahi kwako na kakundi kako na Kanda pendwa kitu ambacho hamtakaa mfanikiwe! Wewe ni mchochezi na sio mzalendo! Unafaa kushtakiwa!
 
Sisi ni matajiri sana bwana

In God we Trust
Inaposemwa kuwa sisi ni matajiri ni kweli. Tuna natural resources nyingi sana ambazo ni utajiri kakini hazijatumiwa vizuri kuifanya nchi yetu kuwa tajiri. Sio kwamba tuna mapesa yamaejaa hazina.
 
Huyu kenge hajitambui kabisa..anadhani watalii wanaweza ku risk maisha yao kuja sehemu ambayo tayari imeshajitangaza kuwa kuna corona! Angejaribu kwanza kuuliza kwa Tour operators kiasi Cha watalii walio cancel Safari zao ndo angekuja kuongea pumba zake hapa
Watalii sijui watoke wapi na wakati Europe na America wamefunga mipaka? Mtikisiko wa kiuchumi haukwepeki asilani. Labda iwe kweli kwamba virusi vile havisavaivu kwenye jua kali na joto ndo wahamie tena Africa.
 
Polepole anaongelea mipango ya kitaifa kwa Corona kama nani? Hii nchi ishakuwa ukoo wa Kambale.
Walio responsible wamekaa kimya wanaogopa kuwajibika kwa maneno yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye si ndo katibu wa uenezi wa chama dola, wakati fulani anaweza kuwa msemaji wa serikali kupitia chama.

Tujadili hilo boko lake alilotoa, ila kwa nafasi ya kusemea mambo ya serikali haina shaka uchochoro wa kupitia amepata.
 
Hapa naona wanazidi kuimarisha chuki baina ya CCM na upinzani!
Sio kwamba upinzani wote umeshaangamizwa. Sasa chuki ya CCM v Upinzani inatoka wapi?
Kama mwenyekiti Cdm alizomewa Hai jimboni kwake utasema bado kuna upinzani!
 
Hiki kijamaa kina kiherehere kwa kila jambo mpaka kinabore.Kila jambo kinadandia mara gerezan cha kwanza,maelezo yote haya ya nn wakati serkali ina wataalam lukuki.
 
Sio kwamba upinzani wote umeshaangamizwa. Sasa chuki ya CCM v Upinzani inatoka wapi?
Kama mwenyekiti Cdm alizomewa Hai jimboni kwake utasema bado kuna upinzani!
Sasa kama upinzani haupo,inakuwaje kila kukicha hamuishi kuwataja?Inakuwaje huyu anasema upinzani unapaswa kutokomezwa?Kama upinzani umekufa,achieni wafanye siasa na pia achieni ipatikane tune huru!

Haya ya upinzani kufa ni miaka nenda rudi tunayasikia lakini ndio wanazidi kuongeza wanachama na kuimarika zaidi!

Au umesahau mlivyopata mshangao baada ya zoezi la kuchangisha fedha za kuwatoa akina Mbowe?Hahahaaaa
 
Beatrice Kamugisha,
Kwadwarf cha akili na mwili kinaropoka tu....aiseee sijapata kuona mwanaume mwenye kiherehere km hiki kijamaa.Hakiwez kuwa na hoja za maana sababu ya ukiherehere tu wa kila jambo hvyo hana muda wa kufikiri.Itikadi na uenezi anahitajika mtu smart sio kituko hiki.
 
Ndio maana wapinzani wanapigwa nakufanyiwa kila lisilofaa hata kumfanyia mnyama. Mungu anawaona.
 
Back
Top Bottom