Yes. Na kama dhambi zote zinasamehewa, hakuna atakayeingia motoni!Sheria za nchi haziendeshwi na biblia. Unaweza ukawa mtu wa Mungu lakini ikija kwenye sheria za nchi hata kama ni dhambi lazima itekelezwe. Kama tunapaswa kusamehe basi jela ziondolewe na wahalifu wote wasamehewe waachiwe huru
Kwa sababu alitubuSikumbuki imeandikwa wapi, lakini kama sikosei, Yesu alipokuwa msalabani alimsamehe jizi mmoja mkubwa na kumwambia atakuwa naye peponi. Wajuzi wa Biblia njoni mtujuze jamani.
Mimi sijui. Ila nashangaa, swali nimemuuliza Mh. Polepole, inakuwaje majibu yanatoka kwa mtu asiyeitwa Polepole? Ndo maana nikahisi labda Polepole ana ID nyingi. Vinginevyo labda Polepole amewatuma mumsaidie kujibu.😹😹😹 Kwahiyo kila atakayekujibu ni Polepole?
Na Serikali za muDuniani zingekuwa na utaratibu kama huo ingekuwa poa sana 😳 !Kwa sababu alitubu
🙏😄Yesu alisema dhambi zote zitasamehewa lakini dhambi ya kukufuru roho mtakatifu haitasamehewa kamwe!!
Naweza kusema Kuna dhambi unaweza kusamehe kabisa lakini vilevile Kuna dhambi unaweza usisamehe.
Mathayo 12:31–32
"Kwa sababu hiyo nawaambia, Kila dhambi na kila neno la kukufuru watasamehewa wanadamu; ila kufuru ya Roho haitasamehewa."
Mkuu ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe Mungu. Mstari huu umebeba nukuu hiyo ya HP!Mheshimiwa Polepole, kuna clip nimeiona mahali, ulikuwa unafundisha kwa makini sana masuala ya imani ya kikristo. Ulifundisha kwa weledi mkubwa kiasi kwamba waliokuwa wanakusikiliza walikuelewa na kukubaliana nawe 100%. Hiyo video imenidhihirishia kuwa wewe pasina shaka ni muumini mzuri wa Biblia na mafundisho ya Masihi Yesu.
Sasa katika video yako uliyoirusha hivi majuzi kuhusu wanamtandao, umesema kwamba Mungu akiwavusha, mtaweka sheria ya kuwafunga viongozi wakuu wastaafu wenye makosa. Mimi si mjuzi sana wa Biblia lakini nakumbuka kuna mahali imeandikwa kwamba usipowasamehe waliokukosea hautasamehewa. Kwenye video hiyo ulisema unatoa msamaha kwa mambo mengine, lakini mambo ya kisiasa hapana kusameheana.
Kwa unyenyekevu mkubwa swali langu ndio hili: Hiyo kauli umeitoa wapi kwenye Biblia? Ni wapi Yesu alisema msamaha hautolewi kwa watu waliokosea kisiasa?
Natanguliza shukrani kwa majibu mema, na yenye lengo la kunisaidia niijue Biblia kama wewe. Asante, mkuu.
Kama nilivyotangulia kusema, nimejiridhisha kwamba huyo ni mtaalam wa Biblia. So, nadhani hata hiyo kauli yake amei-base kwenye Biblia. Tusubiri labda atajitokeza kutuambia ameitoa wapiKusamehe au kutokusamehe ni utashi wa mtu binafsi mwenyewe
Kusamehe sio lazima, hata Mungu mwenyewe hajawahi kumsamehe Shetani.Mimi si mjuzi sana wa Biblia lakini nakumbuka kuna mahali imeandikwa kwamba usipowasamehe waliokukosea hautasamehewa
Hamjamjua bwana Polepole, kinachomfanya aongee yote hayo sio uzalendo bali ni kukosa alichokitaka kwenye CCM. Roho yake imejaa visasi na chuki kwa wote waliopo madarakani, hana ajenda kubwa ya kuwasaidia wananchi anachojali ni kupambana na anaowaita wahuni.Mheshimiwa Polepole, kuna clip nimeiona mahali, ulikuwa unafundisha kwa makini sana masuala ya imani ya kikristo. Ulifundisha kwa weledi mkubwa kiasi kwamba waliokuwa wanakusikiliza walikuelewa na kukubaliana nawe 100%. Hiyo video imenidhihirishia kuwa wewe pasina shaka ni muumini mzuri wa Biblia na mafundisho ya Masihi Yesu.
Sasa katika video yako uliyoirusha hivi majuzi kuhusu wanamtandao, umesema kwamba Mungu akiwavusha, mtaweka sheria ya kuwafunga viongozi wakuu wastaafu wenye makosa. Mimi si mjuzi sana wa Biblia lakini nakumbuka kuna mahali imeandikwa kwamba usipowasamehe waliokukosea hautasamehewa. Kwenye video hiyo ulisema unatoa msamaha kwa mambo mengine, lakini mambo ya kisiasa hapana kusameheana.
Kwa unyenyekevu mkubwa swali langu ndio hili: Hiyo kauli umeitoa wapi kwenye Biblia? Ni wapi Yesu alisema msamaha hautolewi kwa watu waliokosea kisiasa?
Natanguliza shukrani kwa majibu mema, na yenye lengo la kunisaidia niijue Biblia kama wewe. Asante, mkuu.
Sijamfananisha mtu yoyote na shetani bali nimesema sio lazima kusamehe maana hata 'Mungu mwenyewe hajawahi kumsamehe shetani' nyie ndio mnawachomesha watu alafu wanashitakiwa kwa makosa kubumba alafu mnabaki kuona aibu huku mnachekesha kwenye familia zao.Ehee, kwahiyo viongozi wastaafu wanafananishwa na shetani? Makubwa hayo!
Really? Kwani lile jizi msalabani lilipata nafasi ya kuwaomba msamaha liliowakosea na kurudisha mali zao? Mbona lilipewa tu msamaha?Yesu alisema kabla hujaenda kutubu lazima uombe msamaha uliemkosea na kama umechukua mali yake urudishe..!!