Polepole huenda anahitaji usaidizi wa matibabu kuliko kitu kingine chochote

Ngoja awanyoshe kidogo...

Cc: Mahondaw
Polepole na genge lake ni kama wamekwama, Sasa wanatapatapa. Mm nilidhani kuwa wana jambo kubwa sana wangefanya kama CCM hawatarudia mchakato wa uteuzi wa mgombea Urais kumbe ni kufichua tu namna walivyofanya ili JPM kushinda uchaguzi. Hii mbona ilikuwa ikijulikana kama CCM wanaiba kura? Hakuna ambae alikuwa hajui kuwa kule Zanzibar CCM ilikuwa haishindi, hasa kule Pemba katika chaguzi zote za vyama vingi. Ukweli hili la kuiba uchaguzi huko nyuma sio jambo geni lakini sio kwenye uchaguzi huu ambao bado haujafanyika.

Polepole hafai kitu na hatufai watanzania. Anamaanisha kuwa mbinu hizi za wizi wa kura zingekuwa halali kama mgombea wao ndiye angekuwa mgombea kupitia CCM lakini sio sawa kwa Samia na Nchimbi.
 
IMG_20240428_070927.jpg
 
Hiyo siyo kweli kabisaaa. JPM alisema kwenye kampeni hakuna pahala nimeahidi kuandika Katiba mpya, hivyo siibadili Katiba ng'o, Wacha niitumie hiihii kunyoosha nchi. Wakati JPM anayasema hayo hata Polepole alimsikia lakini alikaa kimya . Hakuna ushahidi kama polepole aliwahi kumshairi JPM chochote kwenye hilo.

Nani anhemkwamisha JPM kuandika Katiba mpya kama angetaka kuandika Katiba mpya.

Polepole amekosa uhalali wa kusema na kufanya haya anayosema na kufanya zaidi ya kuhitaji usaidizi wa matibabu ndani na nje ya nchi. Hakuna mtu mwenye utimamu wa akili ambae hampuuzi kwenye haya anayosema. Bado yuko kwenye denial kuwa JPM amekufa natural death. Na hii ni dalili kuwa Kuna aina ya watu hawastahili kupewa madaraka makubwa na Siri kubwa za nchi.
Wampe V8 tu atarudi kumfagilia Mama Samia.
Lakini hawezi kuaminika kwa jamii tena kama ni kigeugeu au pandikizi la system au ni mgonjwa kiafya na hata msaliti wa CCM.
Kinachostua zaidi ametokea Cuba iliyokuwa ya Fidel Castro.
 
Inawezekana yuko Kenya anajiuguza
 
Basi kwa taarifa yako Pole pole ana akili timamu na anajua anachokifanya pengine kuliko wewe.
Lawama zote ulizompa kuwa kwani haku haku ngoja nikupe mfano mmoja.
Baada ya Vladmir Ilyeich Lenin kufa aliyeshika madaraka ni Joseph Stalin
Katika utawala wake amesifiwa kwa kumshinda Hitler ila pia alikuwa Dictator sana.

Na yeye alivyokufa kifo cha brain haemorrage aliyefuatia kushika madaraka ni Nikita Khrushchev utawala wa Nikita ulikuwa ukiponda utawala wa mwenzake Stalin aliyepita kwa kampeni iliyoitwa De-Stalinization.
Katika moja ya vikao vyake aliruhusu watu kumuuliza maswali kwa wasioweza kuuliza kuogopa waandike kwa maandishi.
Mmoja ya waulizaji alimuuliza ,''Wewe unaponda utawala wa mtangulizi wako.Mbona wakati wa utawala wake na wewe ulikuwa kiongozi wa chama kwanini hukuupinga toka wakati ule''?

Nikita alivyoona hilo swali alitaka kujua ni nani kauliza swali hilo.Akalisoma swali hilo hadharani akasema hili ni swali zuri mno naomba aliyeuliza ajitokeze nimpongeze nimjibu.

Kiukweli hakuna aliyejitokeza.
Basi alimjibu yule mtu hadharani wewe ulivyosema kwanini sikupinga wakati ule basi na mimi hicho hicho nilikuwa naogopa kama wewe ulivyoogopa kujitokeza hadharani.

Hivi Marehemu Magufuli mlikuwa mnamjua?.Alikuwa wakati mwingine ni baba haambiliki kumuingia inabidi ukae sawa anaweza kuku umbua mbele za watu na cheo ukavuliwa mbele za watu.Hata wakati mmoja Mayala alimuuliza swali flani akaonyesha kukerwa kidogo na swali hili akaanza kumpiga kijembe kwanza maana ya Mayala kisukuma ni Njaa.

Hata mbwa anayebweka sana anasubiri afike kwao ndio anaanza kubweka kwa nguvu zote huwezi kuta anabwekea ugenini.Huenda wakati ule Pole pole aliona kwa Magufuli haifai sasa ameona imetosha ana pa kubwekea.

Pole pole ni mtu mwenye akili zake nyingi tu tena kuliko hata wewe unayemlaumu anajua afanyacho.
Na usije shangaa ni Pro-CCM we shangaa tu na malawama yote lakini sijawahi sikia amevuliwa uanachama wa CCM.
Kwenye somo La Engineering kuna Engineering mathematics sasa hata kwenye siasa kuna Political mathematics.
Lowasa na Sumaye walikimbilia Chadema walirudi baadae CCM kule walifuata nini.Wakati Lowasa anarudi CCM alisema hodi hodi narudi nyumbani.

Sumaye alidai kule aliona kama amebebeshwa gunia la misumari.
Katika nchi inayojua kucheza na upepo wa akili za wananchi yake Tanzania ni mojawapo.Tofauti ya sisi na Kenya ni kwamba Watanzania tunapenda kuishi kwa upepo wa nini au ni CD gani inacheza muda huu.Mnakumbuka enzi za babu wa Loliondo? akili ya watanzania yote ilihamia huko nakumbuka kulikuwa na kashfa gani inavuma?.CD Ya sasa hivi ni Pole Pole tuisikilize kwa makini itakuja CD nyingine.

CCM ni dude kubwa mno lenye maguvu na mikono mipana na mirefu sio kwamba litatawala milele ila inabidi ujipange.
Picha nzuri ya hesabu za siasa angalia hiyo picha hizo chesi nyeupe ni utawala wa wengi chama tawala inateuliwa chess moja nyeupe kujaribu ku destabilize hizo chess nyeusi ambapo ni wapinzani wachache.Hesabu za siasa ndivyo zilivyo sasa
 
Attachments

  • political calculation.png
    political calculation.png
    805.6 KB · Views: 26
cha ajabu wewe haujampuuza, sasa sijui kati ya wewe na yeye nani anayehitaji matibabu zaidi? swali gumu …
Usibishane na thread ambazo ni sponsored na wanamtandao, ni kuiacha ining'inie yenyewe tu
 
Basi kwa taarifa yako Pole pole ana akili timamu na anajua anachokifanya pengine kuliko wewe.
Lawama zote ulizompa kuwa kwani haku haku ngoja nikupe mfano mmoja.
Baada ya Vladmir Ilyeich Lenin kufa aliyeshika madaraka ni Joseph Stalin
Katika utawala wake amesifiwa kwa kumshinda Hitler ila pia alikuwa Dictator sana.

Na yeye alivyokufa kifo cha brain haemorrage aliyefuatia kushika madaraka ni Nikita Khrushchev utawala wa Nikita ulikuwa ukiponda utawala wa mwenzake Stalin aliyepita kwa kampeni iliyoitwa De-Stalinization.
Katika moja ya vikao vyake aliruhusu watu kumuuliza maswali kwa wasioweza kuuliza kuogopa waandike kwa maandishi.
Mmoja ya waulizaji alimuuliza ,''Wewe unaponda utawala wa mtangulizi wako.Mbona wakati wa utawala wake na wewe ulikuwa kiongozi wa chama kwanini hukuupinga toka wakati ule''?

Nikita alivyoona hilo swali alitaka kujua ni nani kauliza swali hilo.Akalisoma swali hilo hadharani akasema hili ni swali zuri mno naomba aliyeuliza ajitokeze nimpongeze nimjibu.

Kiukweli hakuna aliyejitokeza.
Basi alimjibu yule mtu hadharani wewe ulivyosema kwanini sikupinga wakati ule basi na mimi hicho hicho nilikuwa naogopa kama wewe ulivyoogopa kujitokeza hadharani.

Hivi Marehemu Magufuli mlikuwa mnamjua?.Alikuwa wakati mwingine ni baba haambiliki kumuingia inabidi ukae sawa anaweza kuku umbua mbele za watu na cheo ukavuliwa mbele za watu.Hata wakati mmoja Mayala alimuuliza swali flani akaonyesha kukerwa kidogo na swali hili akaanza kumpiga kijembe kwanza maana ya Mayala kisukuma ni Njaa.

Hata mbwa anayebweka sana anasubiri afike kwao ndio anaanza kubweka kwa nguvu zote huwezi kuta anabwekea ugenini.Huenda wakati ule Pole pole aliona kwa Magufuli haifai sasa ameona imetosha ana pa kubwekea.

Pole pole ni mtu mwenye akili zake nyingi tu tena kuliko hata wewe unayemlaumu anajua afanyacho.
Na usije shangaa ni Pro-CCM we shangaa tu na malawama yote lakini sijawahi sikia amevuliwa uanachama wa CCM.
Kwenye somo La Engineering kuna Engineering mathematics sasa hata kwenye siasa kuna Political mathematics.
Lowasa na Sumaye walikimbilia Chadema walirudi baadae CCM kule walifuata nini.Wakati Lowasa anarudi CCM alisema hodi hodi narudi nyumbani.

Sumaye alidai kule aliona kama amebebeshwa gunia la misumari.
Katika nchi inayojua kucheza na upepo wa akili za wananchi yake Tanzania ni mojawapo.Tofauti ya sisi na Kenya ni kwamba Watanzania tunapenda kuishi kwa upepo wa nini au ni CD gani inacheza muda huu.Mnakumbuka enzi za babu wa Loliondo? akili ya watanzania yote ilihamia huko nakumbuka kulikuwa na kashfa gani inavuma?.CD Ya sasa hivi ni Pole Pole tuisikilize kwa makini itakuja CD nyingine.

CCM ni dude kubwa mno lenye maguvu na mikono mipana na mirefu sio kwamba litatawala milele ila inabidi ujipange
💯 excellent
 
Kinachosababisha watu wampuuze Polepole kile anachokisema kuhusu siasa ni ile historia yake ya kuwa kiongozi muhimu wakati wa serikali ya Magufuli. Polepole angeweza kumshauri Magufuli aandike katiba mpya ya serikali 3 lakini hakufanya hivyo

Polepole angeweza kumshauri Magufuli asivifungie vyama vya siasa kufanyakazi zao za kikatiba lakini hakufanya hivyo.

Polepole angeweza kumshauri Magufuli awatafute wahuni waliompiga risasi Lissu lakini hakufanya hivyo.

Polepole angeweza kumshauri Magufuli asimchague Samia kuwa makamu wa Rais wake lakini hakufanya hivyo

Polepole alikuwepo wakati mifuko ya hifadhi inaporwa fedha zake na wastaafu kukosa fedha zao lakini alikaa kimya.

Polepole anafahamu kuwa wajumbe wa Mkutano MKuu wa CCM wana akili zao timamu pengine kuliko yeye lakini yeye anawaona wajumbe wote hawana akili na hawana wanachokijua kuhusu CCM kuliko yeye.

Polepole anajikasimisha jukumu zito sana la kuitetea CCM na Tanzania bila kutaja jukumu hilo amepewa na akina nani. Yaani yeye anakijua chama kuliko wajumbe wote wa CCM na ana uchungu na tanzania kuliko watanzania wengine

Polepole alikaa kimya alipowasikia wahuni wakijitokeza hadharani kutaka kubadilisha katiba ili kuongeza muda wa ukomo wa Rais madarakani. Hoja hii haikukutana na hasira kubwa na kali kutoka kwa yeyote, kuonyesha kuwa jambo la kubadilisha katiba kuongeza muda lilikuwa linazungumzika wakati muda ukifika. Walikuwa wanapima atmosphere ya huko nje tu

Polepole huyu alikaa kimya wakati Mzee Warioba anachapwa kibao.

Polepole ni kama vile anahitaji msaada ya matibabu kuliko kumshangaa na kumsakama. Hajui kama amekalia kuti kavu kama walilokalia wezake waliowahi kukalia makuti makavu kama Mzee Makamba, Kinana, Lowasa, Mzee Aboud Jumbe, Sharif, Kingunge, Kolimba, Sumaye, Msindai, Kambona, Membe, Mrema, John Malecela, Salmin, Ali Karume, Nape na wengine wengi wasio na idadi. Anataka kuangua dafu moja kwa kuutikisa mnazi mzima. Ana umri gani yeye wa kuifahamu CCM kiasi hicho?
Wewe umepona?
 
Watu wa aina gani wamempuuza? ni aina yoko wewe (agents wa wananamtandao), kitu ambacho kinajulikani na hakina madhara
 
Basi kwa taarifa yako Pole pole ana akili timamu na anajua anachokifanya pengine kuliko wewe.
Lawama zote ulizompa kuwa kwani haku haku ngoja nikupe mfano mmoja.
Baada ya Vladmir Ilyeich Lenin kufa aliyeshika madaraka ni Joseph Stalin
Katika utawala wake amesifiwa kwa kumshinda Hitler ila pia alikuwa Dictator sana.

Na yeye alivyokufa kifo cha brain haemorrage aliyefuatia kushika madaraka ni Nikita Khrushchev utawala wa Nikita ulikuwa ukiponda utawala wa mwenzake Stalin aliyepita kwa kampeni iliyoitwa De-Stalinization.
Katika moja ya vikao vyake aliruhusu watu kumuuliza maswali kwa wasioweza kuuliza kuogopa waandike kwa maandishi.
Mmoja ya waulizaji alimuuliza ,''Wewe unaponda utawala wa mtangulizi wako.Mbona wakati wa utawala wake na wewe ulikuwa kiongozi wa chama kwanini hukuupinga toka wakati ule''?

Nikita alivyoona hilo swali alitaka kujua ni nani kauliza swali hilo.Akalisoma swali hilo hadharani akasema hili ni swali zuri mno naomba aliyeuliza ajitokeze nimpongeze nimjibu.

Kiukweli hakuna aliyejitokeza.
Basi alimjibu yule mtu hadharani wewe ulivyosema kwanini sikupinga wakati ule basi na mimi hicho hicho nilikuwa naogopa kama wewe ulivyoogopa kujitokeza hadharani.

Hivi Marehemu Magufuli mlikuwa mnamjua?.Alikuwa wakati mwingine ni baba haambiliki kumuingia inabidi ukae sawa anaweza kuku umbua mbele za watu na cheo ukavuliwa mbele za watu.Hata wakati mmoja Mayala alimuuliza swali flani akaonyesha kukerwa kidogo na swali hili akaanza kumpiga kijembe kwanza maana ya Mayala kisukuma ni Njaa.

Hata mbwa anayebweka sana anasubiri afike kwao ndio anaanza kubweka kwa nguvu zote huwezi kuta anabwekea ugenini.Huenda wakati ule Pole pole aliona kwa Magufuli haifai sasa ameona imetosha ana pa kubwekea.

Pole pole ni mtu mwenye akili zake nyingi tu tena kuliko hata wewe unayemlaumu anajua afanyacho.
Na usije shangaa ni Pro-CCM we shangaa tu na malawama yote lakini sijawahi sikia amevuliwa uanachama wa CCM.
Kwenye somo La Engineering kuna Engineering mathematics sasa hata kwenye siasa kuna Political mathematics.
Lowasa na Sumaye walikimbilia Chadema walirudi baadae CCM kule walifuata nini.Wakati Lowasa anarudi CCM alisema hodi hodi narudi nyumbani.

Sumaye alidai kule aliona kama amebebeshwa gunia la misumari.
Katika nchi inayojua kucheza na upepo wa akili za wananchi yake Tanzania ni mojawapo.Tofauti ya sisi na Kenya ni kwamba Watanzania tunapenda kuishi kwa upepo wa nini au ni CD gani inacheza muda huu.Mnakumbuka enzi za babu wa Loliondo? akili ya watanzania yote ilihamia huko nakumbuka kulikuwa na kashfa gani inavuma?.CD Ya sasa hivi ni Pole Pole tuisikilize kwa makini itakuja CD nyingine.

CCM ni dude kubwa mno lenye maguvu na mikono mipana na mirefu sio kwamba litatawala milele ila inabidi ujipange.
Picha nzuri ya hesabu za siasa angalia hiyo picha hizo chesi nyeupe ni utawala wa wengi chama tawala inateuliwa chess moja nyeupe kujaribu ku destabilize hizo chess nyeusi ambapo ni wapinzani wachache.Hesabu za siasa ndivyo zilivyo sasa
Kwa kauli za Polepole za hivi Sasa huko mafichoni anaonyesha kuwa alikuwa karibu sana na JPM, walikuwa wanategemeana kwenye kufanya na kutofanya mambo, walikuwa na urafiki wa hata nje ya kazi. Hii maana yake Polepole ameshiriki katika kuwatumbua viongozi, kufukuzwa kwa wafanyakazi hewa, kufukuzwa kwa wasio na vyeti na hata kupigwa risasi kwa Tundu Lissu na wengine waliokuwa kwenye viroba wamekufa. Atakuwa anafahamu Azori yuko wapi kwasababu gani.

Hivyo kwa ukaribu huo angeweza kuwakemea kwelikweli wale wote waliokuwa wakitaka Rais JPM aongezwe muda wa kukaa madarakani, lakini watu wale hawakukalipiwa hata kidogo. Nakumbuka Ndugai rip Kuna wakati alisikika akiwajibu waliokuwa wanataka JPM aongezwe muda wa kukaa madarakani kwa kuwaambia hilo linazungumzika Wacha tusubiri kikao cha bunge kijacho liletwe rasmi. Hivi kwa bunge lile la wabunge waliopatikana kwa njia za kuengua wapinzani wote unadhani kama swala hilo lingeletwa rasmi bungeni lingepingwa na nani? Hata Rais Museni huwa anaonyesha kupinga watu wanaotaka kumuongezea muda wa ukomo wa Urais, lakini ni uongo yeye ndiye anataka ili baadae aseme wananchi wanataka na wameamua. Hata kagame anatumia njia hiyo kukaa madarakani.

Kama Polepole angetaka kuleta mabadiliko ndani ya CCM angeendelea kubaki ndani ya CCM humohumo. Mwisho wa Polepole na ngebe zake asubiri CCM hii ya akina Nchimbi na Makonda ipite kwenye uchaguzi huu wa October 29, 2025 Makonda atakapokuwa waziri wa mambo ya ndani. Mzee warioba anakumbuka vizuri Makonda.
 
mbona bado ni mwana CCM anayepambana na OLIGARCHS (wanamtandao), nimekusoma kuwa huijui CCM
 
Kinachosababisha watu wampuuze Polepole kile anachokisema kuhusu siasa ni ile historia yake ya kuwa kiongozi muhimu wakati wa serikali ya Magufuli. Polepole angeweza kumshauri Magufuli aandike katiba mpya ya serikali 3 lakini hakufanya hivyo

Polepole angeweza kumshauri Magufuli asivifungie vyama vya siasa kufanyakazi zao za kikatiba lakini hakufanya hivyo.

Polepole angeweza kumshauri Magufuli awatafute wahuni waliompiga risasi Lissu lakini hakufanya hivyo.

Polepole angeweza kumshauri Magufuli asimchague Samia kuwa makamu wa Rais wake lakini hakufanya hivyo

Polepole alikuwepo wakati mifuko ya hifadhi inaporwa fedha zake na wastaafu kukosa fedha zao lakini alikaa kimya.

Polepole anafahamu kuwa wajumbe wa Mkutano MKuu wa CCM wana akili zao timamu pengine kuliko yeye lakini yeye anawaona wajumbe wote hawana akili na hawana wanachokijua kuhusu CCM kuliko yeye.

Polepole anajikasimisha jukumu zito sana la kuitetea CCM na Tanzania bila kutaja jukumu hilo amepewa na akina nani. Yaani yeye anakijua chama kuliko wajumbe wote wa CCM na ana uchungu na tanzania kuliko watanzania wengine

Polepole alikaa kimya alipowasikia wahuni wakijitokeza hadharani kutaka kubadilisha katiba ili kuongeza muda wa ukomo wa Rais madarakani. Hoja hii haikukutana na hasira kubwa na kali kutoka kwa yeyote, kuonyesha kuwa jambo la kubadilisha katiba kuongeza muda lilikuwa linazungumzika wakati muda ukifika. Walikuwa wanapima atmosphere ya huko nje tu

Polepole huyu alikaa kimya wakati Mzee Warioba anachapwa kibao.

Polepole ni kama vile anahitaji msaada ya matibabu kuliko kumshangaa na kumsakama. Hajui kama amekalia kuti kavu kama walilokalia wezake waliowahi kukalia makuti makavu kama Mzee Makamba, Kinana, Lowasa, Mzee Aboud Jumbe, Sharif, Kingunge, Kolimba, Sumaye, Msindai, Kambona, Membe, Mrema, John Malecela, Salmin, Ali Karume, Nape na wengine wengi wasio na idadi. Anataka kuangua dafu moja kwa kuutikisa mnazi mzima. Ana umri gani yeye wa kuifahamu CCM kiasi hicho?
Ni mgonjwa na ameathirika kwa ugonjwa mbaya,tumsamehe tu
 
mbona bado ni mwana CCM anayepambana na OLIGARCHS (wanamtandao), nimekusoma kuwa huijui CCM
Ninachompuuza Polepole ni kutaka kutuaminisha sisi watu wazima kuwa Magufuli alikuwa mzuri sana kuliko Samia. Mbaya zaidi Samia alichaguliwa na Magufuli mwenyewe na kusema kuwa Samia ni mtu safi sana tena kuliko Dr. Mwinyi. Akifanya hivyo awamu ya kwanza na akaendelea kumwamini kwenye awamu ya pili. Na mbaya kuliko Polepole anamkataa Rais Samia kuapishwa kuwa Rais baada ya JPM kufa. Polepole ni nani kupinga hata Katiba. Yaani mawazo yake yeye lazima yatekelezwe la sivyo una hatia. Huo ni ugonjwa sio afya.

Sasa hivi anasikiliza speech zake mwenyewe wakati akichangia bungeni na kusema ona hawajatekeleza niliyosema mm bungeni; maana serikali inaweza kupuuza michango ya wabunge wengine bungeni lakini sio michango yake, huu ndio ugonjwa wenyewe ninaosema.

Polepole anaumwa akili, asaidiwe. Yaani anachopendekeza yeye lazima kitekelezwe, yeye ni nani? Kuna haja ya kuwapima afya watu wote wanaopewa dhamana kubwa za nchi.
 
Ninachompuuza Polepole ni kutaka kutuaminisha sisi watu wazima kuwa Magufuli alikuwa mzuri sana kuliko Samia. Mbaya zaidi Samia alichaguliwa na Magufuli mwenyewe na kusema kuwa Samia ni mtu safi sana tena kuliko Dr. Mwinyi. Akifanya hivyo awamu ya kwanza na akaendelea kumwamini kwenye awamu ya pili. Na mbaya kuliko Polepole anamkataa Rais Samia kuapishwa kuwa Rais baada ya JPM kufa. Polepole ni nani kupinga hata Katiba. Yaani mawazo yake yeye lazima yatekelezwe la sivyo una hatia. Huo ni ugonjwa sio afya.

Sasa hivi anasikiliza speech zake mwenyewe akichangia bungeni na kusema ona hawajatekeleza niliyosema mm bungeni; maana serikali inaweza kupuuza michango ya wabunge wengine bungeni lakini sio michango yake, huu ndio ugonjwa wenyewe ninaosema.

Polepole anaumwa akili, asaidiwe. Yaani anachopendekeza yeye lazima kitekelezwe, yeye ni nani? Kuna haja ya kuwapima afya watu wote wanaopewa dhamana kubwa za nchi.
JPM alikuwa far better, ndyo maana vita yake dhidi ya OLIGARCHS ikamuondoa duniani, haimanishi hakuwa na kasoro, ila anachozungumza sasa ni kuwa OLIGARCHS wame kuwa na full control ya Chama na Serikali. Polepole anawawakilisha wana CCM wenzake ktk hicho anachopigana nacho, na mpaka sasa Chama hakija mkosoa/kanusha anachosema, except kwa individuals kama wewe na ni haki yako ya kikatiba.
 
Huo ni uzushi kabisa, Rais wetu Kuna uwezekano mkubwa kuwa COVID-19 ilihusika na kifo chake, wahuni walimdanganya kuwa hakuna COVID-19. Kama baadhi ya watu wake wa karibu wanaokutana kwenye vikao walikufa kwa COVID-19 hata yeye kwa umri wake ule na afya yake ile angeweza kupata maambukizi pia, Wahuni waliomponza wanahamisha goli kuliweka upande wa wanamtandao. Rais JPM alikuwa analindwa kwelikweli kwelikweli kwelikweli unadhani nchi ilikuwa vitani hao wanaharamu wa kumdhulu Rais JPM wangetoka na kupitia wapi?

Nani aliamuru Rais Samia afichwe kifo cha immediate boss wake? Nadhani Rais wetu JPM alikosea sana tena sana kuwaaminii Polepole na Gwajima juu ya COVID-19 na mambo mengine ya nchi na kudharau utaalamu katika afya na mambo mengine ya nchini. Ni nchi gani inayopambana na sekta yake binafsi ikafanikiwa? JPM alikuwa akiijenga miradi ya reli, umeme na makao makuu kwa mbinde na shida kubwa kwakweli kwake, watumishi, wanajeshi na raia, watu wote hao waliuma meno kwa maumivu kupisha miradi ijengwe.

Kama wanamtandao wana nguvu hizo za kuweza kumdhuru hata Rais basi mwanamtandao mwenzao Membe asingeudhulika, hata Lowasa angekuwa hai. Sasa hivi ndiyo Polepole anatutonya kuwa kumbe kulikuwa na mapambano kati yao na wanamtandao. Maana yake hata vifo vya akina Lowasa na Membe huenda havikuwa vya kawaida tu. Je, na Lissu alikuwa mwanamtandao hadi kustahili Yale?
 
Kinachosababisha watu wampuuze Polepole kile anachokisema kuhusu siasa ni ile historia yake ya kuwa kiongozi muhimu wakati wa serikali ya Magufuli. Polepole angeweza kumshauri Magufuli aandike katiba mpya ya serikali 3 lakini hakufanya hivyo

Polepole angeweza kumshauri Magufuli asivifungie vyama vya siasa kufanyakazi zao za kikatiba lakini hakufanya hivyo.

Polepole angeweza kumshauri Magufuli awatafute wahuni waliompiga risasi Lissu lakini hakufanya hivyo.

Polepole angeweza kumshauri Magufuli asimchague Samia kuwa makamu wa Rais wake lakini hakufanya hivyo

Polepole alikuwepo wakati mifuko ya hifadhi inaporwa fedha zake na wastaafu kukosa fedha zao lakini alikaa kimya.

Polepole anafahamu kuwa wajumbe wa Mkutano MKuu wa CCM wana akili zao timamu pengine kuliko yeye lakini yeye anawaona wajumbe wote hawana akili na hawana wanachokijua kuhusu CCM kuliko yeye.

Polepole anajikasimisha jukumu zito sana la kuitetea CCM na Tanzania bila kutaja jukumu hilo amepewa na akina nani. Yaani yeye anakijua chama kuliko wajumbe wote wa CCM na ana uchungu na tanzania kuliko watanzania wengine

Polepole alikaa kimya alipowasikia wahuni wakijitokeza hadharani kutaka kubadilisha katiba ili kuongeza muda wa ukomo wa Rais madarakani. Hoja hii haikukutana na hasira kubwa na kali kutoka kwa yeyote, kuonyesha kuwa jambo la kubadilisha katiba kuongeza muda lilikuwa linazungumzika wakati muda ukifika. Walikuwa wanapima atmosphere ya huko nje tu

Polepole huyu alikaa kimya wakati Mzee Warioba anachapwa kibao.

Polepole ni kama vile anahitaji msaada ya matibabu kuliko kumshangaa na kumsakama. Hajui kama amekalia kuti kavu kama walilokalia wezake waliowahi kukalia makuti makavu kama Mzee Makamba, Kinana, Lowasa, Mzee Aboud Jumbe, Sharif, Kingunge, Kolimba, Sumaye, Msindai, Kambona, Membe, Mrema, John Malecela, Salmin, Ali Karume, Nape na wengine wengi wasio na idadi. Anataka kuangua dafu moja kwa kuutikisa mnazi mzima. Ana umri gani yeye wa kuifahamu CCM kiasi hicho?
Umeongea kwa weledi na hoja madhubuti sana.
 
Huo ni uzushi kabisa, Rais wetu Kuna uwezekano mkubwa kuwa COVID-19 ilihusika na kifo chake, wahuni walimdanganya kuwa hakuna COVID-19. Kama baadhi ya watu wake wa karibu wanaokutana kwenye vikao walikufa kwa COVID-19 hata yeye kwa umri wake ule na afya yake ile angeweza kupata maambukizi pia, Wahuni waliomponza wanahamisha goli kuliweka upande wa wanamtandao. Rais JPM alikuwa analindwa kwelikweli kwelikweli kwelikweli unadhani nchi ilikuwa vitani hao wanaharamu wa kumdhulu Rais JPM wangetoka na kupitia wapi?

Nani aliamuru Rais Samia afichwe kifo cha immediate boss wake? Nadhani Rais wetu JPM alikosea sana tena sana kuwaaminii Polepole na Gwajima juu ya COVID-19 na mambo mengine ya nchi na kudharau utaalamu katika afya na mambo mengine ya nchini. Ni nchi gani inayopambana na sekta yake binafsi ikafanikiwa? JPM alikuwa akiijenga miradi ya reli, umeme na makao makuu kwa mbinde na shida kubwa kwakweli kwake, watumishi, wanajeshi na raia, watu wote hao waliuma meno kwa maumivu kupisha miradi ijengwe.

Kama wanamtandao wana nguvu hizo za kuweza kumdhuru hata Rais basi mwanamtandao mwenzao Membe asingeudhulika, hata Lowasa angekuwa hai. Sasa hivi ndiyo Polepole anatutonya kuwa kumbe kulikuwa na mapambano kati yao na wanamtandao. Maana yake hata vifo vya akina Lowasa na Membe huenda havikuwa vya kawaida tu. Je, na Lissu alikuwa mwanamtandao hadi kustahili Yale?
ulichoandika nyo kila mtu aliewa hivyo wiki ya kwanza post death, kumbe we bado umeshikilia madesa yaliyopitwa na wakati, hujui kuwa corona virus wanaweza kutumika kama silaha (weaponized COVID-19)?? 😎
 
Polepole amenisidia mm layman kuwa kumbe utekaji na mauaji tunayoyaona wakati wa Magufuli na Wakati ni utekaji kati ya CCM asili na CCM mtandao, na hizi kelele za utekaji ni namna ya kujihami tu. Kumbe wanatekana na kuuana kwa misingi hiyo ya al kisasi haqi. Ni watu wanaojuana na kuliana timing.

Polepole amevujisha Siri hii ya kuua kwa upanga na kuuliwa kwa upanga. Ndiyo maana yuko msituni.
 
Back
Top Bottom