GE2025 Polepole: Jamaa aliniuliza maisha yangu baada ya uchaguzi yatakuwaje, nikamwambia hakuna uchaguzi hii ni kiini macho tu

GE2025 Polepole: Jamaa aliniuliza maisha yangu baada ya uchaguzi yatakuwaje, nikamwambia hakuna uchaguzi hii ni kiini macho tu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Majibu yangu kwa jamaa yangu wa Idarani na nitumie fursa hii kuwajibu wote wenye mashaka mashaka juu ya dhamira yetu ya kuikomboa hatima ya nchi yetu ambayo iko kwenye giza nene muda huu, bado muda kidogo na kama Mungu aishivyo haki itatamalaki katika nchi yetu, niwatie moyo siku hiyo inakuja upesi na haitakawia!

NB (Na bado): Mfikishie mtu yeyote kwenye vyombo vyetu vya ulinzi unayemjua, hakikisha umemsabahi kwanza.

Pia Soma: GE2025 - Polepole: Tarehe 29 sitaonekana kwenye kituo chochote cha kupiga kura kwa sababu hakuna Uchaguzi ni kiini macho
​
​
 
Back
Top Bottom