Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,367
- 2,407
Siyo kweli. Vyote alivyo ongea ni uongoKabla ya kumjadili polepole kwanza jiulize.
Alichosema ni kweli au siyo kweli?
Kilichotokea Dodoma kumpitisha samia hapo February ni sawa?
Je wewe ulimuelewa polepole.
Kuishi uhamishoni hata kina Oliver tambo walishaishi tu wala siyo jambo jipya labda kwako
Blah blah zake zina mashikoPolepole alikuwa anataka kusema kitu fulani.
Lakini dada yake akatekwa nyara.
Kwa hiyo akabakia kuongea blah blah.
Mpaka sasa anaongea blah blah.
Inahitaji akili ya juu unapopanga jambo kama hilo. Kama Polepole angerudisha band nyuma kidogo (2020-Uchaguzi wa wabunge), na kumuona Polepole wa wakati ule akajilinganisha na Polepole wa 2025, kweli asingesema maneno hayo.
Kitu sahihi cha kufanya katika hali hiyo ni kuingiza maneno hayo katika kinywa cha mtu mwingine, vinginevyo ataonekana yeye mwenyewe kuwa ni MUHUNI NAMBA 1.
Sasa kalishalikorogo, hana cha kufanya ispokuwa kuogelea bahari asiyeimudu akiwa PANGONI. Kwa sasa ana mambo matatu tu ya kufanya.
- Kuomba ukimbizi ughaibuni
- Kuomba msamaha katika Press ile ile aliyejitokeza
- Kutokomea kusikojulikana.
Sasa kwann unatumia muda wako kuadili uongo?Siyo kweli. Vyote alivyo ongea ni uongo
Kachemka. Kwa wenye akili akiwa yeye ni character ndio hayana thamani kabisa. Kumbuka, watu wa Hitler mpaka leo wakiwa na zaidi ya miaka 90 wakipatikana kokote walikojificha wanafunguliwa kesi na kuhukumiwa.Hayo maneno Yana thamani yeye akiwa character, unafikiri qkimpa Mwijaku Yana thamani gani?
Yeye na hao watu wake wanatapatapa tu. Wamefuatiliwa vizuri na sasa hawana nguvu tena. Walitaka wafanye hayo wakiwa ndani ya system, lakini karibu wote walishangolewa. Dr Samia yuko vizuri. Wawili tayari mafichoni, sita wamekimbia nchi, 10..........wapo.......Maneno yake hayo hayo yamevuruga watu ujue
Muda utasema, aliyechemka ni nani. Toka katika kuita press Kukiwa na kamera kibao Enzi za shule ya uongozi mpaka kufanyia press Shimoni. Du, muda utasema, lakini kwa sasa yaonyesha aliyechemka ni nani.......Pangoniiii!Pole sana wewe mpare, nakupa pole sana.
Kwataarifa yako aliyechemka ni sa100
Hahaha haaaaaa!Uchawa umepofusha akili yako, Aya nenda Pale Lumumba wakupe buku 7 yako
Hazina mashiko yoyote. Lema kampambanua vizuri sana. Polepole ni mshtakiwa namba one. Kwa kuibaka demokrasia yetu.Blah blah zake zina mashiko
Inahitaji akili ya juu unapopanga jambo kama hilo. Kama Polepole angerudisha band nyuma kidogo (2020-Uchaguzi wa wabunge), na kumuona Polepole wa wakati ule akajilinganisha na Polepole wa 2025, kweli asingesema maneno hayo.
Kitu sahihi cha kufanya katika hali hiyo ni kuingiza maneno hayo katika kinywa cha mtu mwingine, vinginevyo ataonekana yeye mwenyewe kuwa ni MUHUNI NAMBA 1.
Sasa kalishalikorogo, hana cha kufanya ispokuwa kuogelea bahari asiyeimudu akiwa PANGONI. Kwa sasa ana mambo matatu tu ya kufanya.
- Kuomba ukimbizi ughaibuni
- Kuomba msamaha katika Press ile ile aliyejitokeza
- Kutokomea kusikojulikana.
Imposible kama kurudisha bikra kwa bibi kizee fulani! Hakuna anaeijua kesho hata kama una mamlaka na kila kitu haimaanishi wewe ni mshindi kwenye kila kitu! Usimkatie tamaa kiumbe yeyote wa Maulana!Wapo watu wengi wanatamani hiyo kazi yake ya Ambassador, tumesema moyo wake haujatulia. Anatamani kuwa President kitu ambacho ni very impossible