GE2025 Polepole kachemka, bora angemtafuta msemaji mwingine kusema maneno yale

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kama haya unayosema ni kweli basi hiyo system imeoza tena ya hovyo sana.
System gani inayosubiria mpaka mwisho wa jambo litokee? Kwanini hiyo system haija react before haya yote?
Huna ukijuacho wewe ni chawa tu
Hovyo eti wamekimbia huyo samia yupo wapi? Vikao vya chama mbona havikufanyika?
Unajibu mambo makubwa kama haya kwa kuimba nyimbo za TAARABU?
 
Kama kuna wanaume 10 CCM basi Polepole ni mwanaume .Wengine wako Mama Mama Mama Mama in Lisu's voice
 
CIA wanamichezo mingi xana
Wakina Polepole, Gwajima, Mpina hawa wote na wengineo usipokuwa na D mbili ya philosophy na psychology utawaona wakweli ila hawa wote goli ni moja.
Rejea
Lowasa na Mlema
 
Tatizo huko Tanganyika ni ccm! Pole Pole si wa kwanza...naye atapita lakini ubovu wa ccm utaendelea
 
Wapo watu wengi wanatamani hiyo kazi yake ya Ambassador, tumesema moyo wake haujatulia. Anatamani kuwa President kitu ambacho ni very impossible
Kama una view hiyo nafasi sababu ya faida inayokuja nayo basi hujamuelewa polepole
 
Unaomba Zawadi..... 🙂
 
Muda utasema, aliyechemka ni nani. Toka katika kuita press Kukiwa na kamera kibao Enzi za shule ya uongozi mpaka kufanyia press Shimoni. Du, muda utasema, lakini kwa sasa yaonyesha aliyechemka ni nani.......Pangoniiii!
Acha Uongo, shule ya Uongozi aliendesha kupitia You Tube channel yake sio kupitia press conferences.
 
Acha Uongo, shule ya Uongozi aliendesha kupitia You Tube channel yake sio kupitia press conferences.
Haya! Ninachotaka kusema, leteni kauli zake akitetea ubakaji wa Demokrasia wakati ule, kwa mfano Uchaguzi wa wabunge 2020. Twende pole pole.
 
Tatizo huko Tanganyika ni ccm! Pole Pole si wa kwanza...naye atapita lakini ubovu wa ccm utaendelea
Tupo pamoja mkuu. Tusishabikie hizi porojo za Polepole, bali CCM kama chama cha siasa kuna matatizo mengi yanayotakiwa kubadilishwa. Huu ni mwaka 2025, huwezi kukiendesha chama kwa tamaduni na kanuni za mwaka 1990. Ni lazime kibadilike!

Pili kama chama tawala. Hapa ndio pagumu zaidi, kwani kikiwa kama chama kilichoshika Dola ni Lazima kiwe na utashi wa kufanya mabadiliko yatayoungwa mkono na asasi nyingine, wadau mbalimbali na wananchi kwa ujumla.

Ndio maana sitaki kusikia Porojo za Polepole kabisa. Kwa sababu alipata nafasi hiyo, na Company yake ilikataa mabadiliko yoyote yale na kusema kuwa KATIBA sio kipaumbele chao. Ajabu leo eti anapiga kelele.
 
Meseji sent.
 
Form ya kuomba kugombea urais kwa chama cha mapinduzi imechukuliwa au bado?
Hiyo sio ajenda kuu. La msingi ni kuwa vyombo vyote vilivyohitajiwa kuwepo kumpitisha mgombea wa CCM vilikuwepo pale. Na vilifanya kazi yake. Na kubwa zaidi uchaguzi ulifanyika wa wazi na huru. Dr Samia akaibuka kwa ushindi wakishindo.
 
Iko hivi: Kwangu muongo ni muongo tu. Tukijenga ajenda kutokana na points za muongo (muhuni), nasi tutakuwa waongo na wahuni. Kama yeye Polepole alituasa kuwaepuka wahuni, moja kwa moja nasi yatubidi kumuepuka yeye polepole kwani naye ni Muhuni.
 
UKISOMA THREAD YA DARK 17/3

UTAELEWA WHY MR.SLOW@2 AMEAMUA KUFANYA HIVYO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…