Uchaguzi 2020 Polepole: Kama watu wamefungana kura hatutarudia zoezi kwa sababu hatutafuti mshindi katika kura za maoni

Uchaguzi 2020 Polepole: Kama watu wamefungana kura hatutarudia zoezi kwa sababu hatutafuti mshindi katika kura za maoni

Sasa kulikuwa na haja gani kuweka watu wanakesha kutafuta mshindi?Kwanini maamuzi ya wengi yakazuiwe na wachache? CCM hapa ndipo inapozalisha kina mwambe wengine
Wapwa tuinune, kura za maoni ni sehemu ya kuhakikisha wajumbe wanapata hela ya soda kidogo kutokana na rushwa za hapa na pale.
 
Sasa kulikuwa na haja gani kuweka watu wanakesha kutafuta mshindi?Kwanini maamuzi ya wengi yakazuiwe na wachache? CCM hapa ndipo inapozalisha kina mwambe wengine
Una we za kuongoza kura za maoni kwa kuhonga wajumbe, ebho!
 
Siku ya uteuzi wa wabunge itategemea nimeamkaje. JPM
 
Duuh, so kura walizopiga wajumbe ni geresha tu!
Yaani ulikuwa hujui au unazuga? Kwanza kura umeambiwa ni za "maoni", ukataka hizo tu zikuingizie mtu ktk uchaguzi kweli?
 
Yaani ulikuwa hujui au unazuga? Kwanza kura umeambiwa ni za "maoni", ukataka hizo tu zikuingizie mtu ktk uchaguzi kweli?
Sasa kuna haja gani? Si wangetia nia halafu wakachukua wanaowataka kuliko kusumbua watu?
 
Bashite anaweza kutunufaisha wengi, aliyenishinda alinunua wajumbe wote 600 kwa Tsh 50,000 kila mmoja. Akapata kura zaidi 500 mimi nikaambulia kura 6 za wanakijiji wachache wajanja waliokula 50,000 lakini wakamtosa mpinzani wangu aliyenishinda. Najuta kuikata 100m yake ili nijitoe.
 
Back
Top Bottom