Polepole: Kigogo aliyetaka kumshauri wa Rais amenyimwa nafasi ya kukutana na Rais



Ndiyo hivyo. Wanamtandao, Jakaya, Rostam, ndio wapangaji na waelekezaji wa Sa100 afanye nini ili aendelee kubakia madarakani, lakini lengo lao ni wao kuendelea kuwa na maamuzi ya mwisho kwenye nchi. Na Sa100 ametamka wazi kuwa kwa sasa yeye siyo Rais, Rais ni Jakaya. Alisema wazi kuwa yeye Sa100 boss wake ni Jakaya, huyo nduliye mwenye maamuzi ya mwisho katika nchi hii. Hawa wawili, Jakaya na Rostam ndio wapangaji wa mipango yote ya uuzwaji wa rasilimali za Tanganyika, wakimshirikisha kwa ukaribu Abdul..
 
Huyu huyu mstaafu ana nini?
Yote anayolipwa bado haridhiki?
Ufisadi aliofanya akiwa madarakani hata hajutii na anaendeleza!
Shame!
 
Huwezi kuwa timamu na bado ukazungukwa na watu waovu usilitambue. Samia hajazungukwa na watu waovu bila kujua. Yeye ndo rais na anawajibika fully kwa yote yanayotokea kwenye utawala wake.
Iko siku hata kinga yake dhidi ya kushitakiwa haitamdaidia.
 
Shida ni kuwa hata washauri huru kama akina Paschal wameshapokwa uhuru ule,hivyo ushauri uliozuiwa kufikka kwa muheshimiwa ungefikishwa kupitia akina P.Ila leo wakijaribu,ama watekwe ama ithibati iingie kazini.Hivyo mimi naamini sheria zingine zinatungwa kulinda maslahi ya wachache na sii maslahi ya taifa.Narejesha kipaza kwa P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…