Polepole: Kujitokeza hadharani kwenda kumzika rafiki yake Ndugai?

Fanfa

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2009
Posts
2,399
Reaction score
3,775
Siku za hivi karibuni Ndugu Humphrey Polepole amejinasibu kuwa alikuwa na ukaribu sana na ndugu Ndugai na kwamba kuna nyakati walikuwa wanaitana wanashauriana mambo ya sirini.

Na hata Ndugai aliposhinikizwa na Bi. Mkubwa ajiuzuru, waliwasiliana na wakapanga mipango ya kuzungumza sirini akienda Kongwa. Na akathibitisha kuwa aliongea kupitia simu ya mbunge fulani kwa ajili ya kuepuka kale ka mchezo kachafu ka kusikilizwa na Bi. Mkubwa katika usiri wao na Polepole.

Hilo halina ubishi kabisa kuwa walikuwa marafiki wa karibu sana tena maswahiba kweli kweli kama ilivyokuwa kwa swahiba mwenyekiti mwendazake. Kwa lugha rahisi ulikuwa utatu mtakatifu.

Kwa utamaduni wetu swahiba wako akipatwa msiba ama kufariki lazima uende kuhani msiba. Hivyo ni matarajio yangu kuwa siku ya kumzika au kumuaga rafiki yake Ndugai atakuwepo kwa ajili ya kumuaga rafiki yake na kumpa pole shemeji yake Dr. Fatuma Mganga.

Kwa hiyo wanaosema kuwa Polepole yuko nje ya nchi hawataamini macho yao kuona maswahiba hao wawili wanaagana kwa kauli ya "kwa Heri ya kuonana, hatutaona tena swahiba"
 
Mipango yote mliyopanga dhidi ya HP imo kwenye waya kioo ataenda kiroho lakini sio mwili mbele ya waovu.
 
Atachukua dhambi. Ni muhimu kumuaga swahiba wake. Mbona hata Polepole kasema hamwogopi mtu, sasa wewe mbona unakuwa muoga kwa niaba yake???
 
Kwani Dr.Fatuma au wewe mleta mada huna taarifa kua Polepole anasema vitu ambavyo vingine hakutakiwa kuvisema,nikimaanisha vinavyowalenga watawala?
Hufikirii kua usalama wake uko hatarini au wewe huna akili ya kung'amua?
 
Zungumza hoja za kitaifa weweee. Mambo ya kwenda au kutokwenda hiyo siyo issue ya maana hata kidogo. Ni pure non sense!! Anayozungumza Pole pole kwa baadhi ya watu ndani ya CCM, upinzani na hata kwa nchi Yana faida. Tuambie hiyo hoja yako Ina faida gani kwa watanzania??
 
Polepole analindwa na mungu wa mbinguni. Kasema yuko vizuri sana mtu akitaka kupita naye asidhubutu kabisa, siyo wa mchezo mchezo. Sasa kwa nini wewe uwe na hofu.
 
Kama Maria Sarungi alishindwa kuja kumzika baba yake, kutakua na maajabu gani Polepole asipokwenda kumzika ndugai
Maria alisema wazi anatishiwa maisha. Maria ni mkimbizi kakimbilia nje. Sasa Polepole yuko nchini na hakuna wa kumtishia. Kashasema yeye mwenyewe. Kwa nini wewe uwe na hofu??
 
Siku za hivi karibuni Ndugu Humphrey Polepole amejinasibu kuwa alikuwa na ukaribu sana na ndugu Ndugai na kwamba kuna nyakati walikuwa wanaitana wanashauriana mambo ya sirini.

Na hata Ndugai aliposhinikizwa na Bi. Mkubwa ajiuzuru, waliwasiliana na wakapanga mipango ya kuzungumza sirini akienda Kongwa. Na akathibitisha kuwa aliongea kupitia simu ya mbunge fulani kwa ajili ya kuepuka kale ka mchezo kachafu ka kusikilizwa na Bi. Mkubwa katika usiri wao na Polepole.

Hilo halina ubishi kabisa kuwa walikuwa marafiki wa karibu sana tena maswahiba kweli kweli kama ilivyokuwa kwa swahiba mwenyekiti mwendazake. Kwa lugha rahisi ulikuwa utatu mtakatifu.

Kwa utamaduni wetu swahiba wako akipatwa msiba ama kufariki lazima uende kuhani msiba. Hivyo ni matarajio yangu kuwa siku ya kumzika au kumuaga rafiki yake Ndugai atakuwepo kwa ajili ya kumuaga rafiki yake na kumpa pole shemeji yake Dr. Fatuma Mganga.

Kwa hiyo wanaosema kuwa Polepole yuko nje ya nchi hawataamini macho yao kuona maswahiba hao wawili wanaagana kwa kauli ya "kwa Heri ya kuonana, hatutaona tena swahiba"
Aliulizwa jana akasema yeye mtu akishakufa habari zake zinaishia hapohapo, atatuma rambirambi tu lakini hataenda.
 
Zungumza hoja za kitaifa weweee. Mambo ya kwenda au kutokwenda hiyo siyo issue ya maana hata kidogo. Ni pure non sense!! Anayozungumza Pole pole kwa baadhi ya watu ndani ya CCM, upinzani na hata kwa nchi Yana faida. Tuambie hiyo hoja yako Ina faida gani kwa watanzania??
Faida kwa taifa ni kuonyesha umoja, upendo na mshikamano. Ndo mila na desturi zetu, akifa rafiki au ndugu su kiongozi lazima ukamzike.
 
Aliulizwa jana akasema yeye mtu akishakufa habari zake zinaishia hapohapo, atatuma rambirambi tu lakini hataenda.
Ok basi hiyo imenipita.

Kwa hiyo kaogopa kwenda kumzika rafiki yake. Ina maana amani inayohubiriwa nchi hii kumbe haipo??
 
Ungekuwa wewe ni Polepole ungehudhuria?
Yes. Nchi hii ni ya utulivu na amani sana. Habari ya kutekana ni wao kwa wao tu.

Hakuna utekaji wala uuaji. Nchi imetulia na mama anaupiga mwingi hadi unamwagika.
 
Ok basi hiyo imenipita.

Kwa hiyo kaogopa kwenda kumzika rafiki yake. Ina maana amani inayohubiriwa nchi hii kumbe haipo??
Ingekuwa vizuri kuwekea nguvu hoja yako kama ungeweza kuonesha ushahidi Polepole yupo katika msiba.

Vinginevyo, hoja yake ni kwamba mtu akifa yeye haoni umuhimu wa ku deal naye.
 
Back
Top Bottom