Nyie vyama vya upinzani mjifunze namna siasa zinavyoendeshwa polepole mtu mmoja tu anaiteka nchi zima inamfuatilia kila hotuba yake.
kwanza anajua kupangilia maneno kwa ustadi na utulivu mkubwa, anaongea bila kulopoka au kuonyesha fujo, amejiweka kama mtu anayewaongelea wanyonge hakuna mwana ccm anayeweza kumjibu polepole maana anayosema ni ya kweli na ni maneno yaliyopangwa vizuri sana kwa mtiririko mzuri.
Anaongea akimaanisha sio unafki unafki au kuchumia tumbo.
Kna jinsi anavyoongea taratibu anawatia watu ujasiri wakupigania nchi yao dhidi ya dhurma taratibu anawajenga majasiri siku hizi watu hawaogopi tena kwenye mitandao wanaongea na kwenye mabasi wanapaza sauti bila kuogopa kuumizwa wala kutekwa.
hadi sasa kwa wakati huu wanasiasa wa kweli Tanzania hii ni polepole namba moja na lisu ni namba mbili hawapepesi maneno kabisa hawa watu na wanania ya dhati kabisa kusaidia jamii.
Ni kichaa atayetoka hadharani na kuwapinga hawa watu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.