Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Ukweli mchungu CCM na Samia wanaumia mno yaani mnoo juu ya madai yanayoibuliwa na Hamphley Polepole.
Machawa wanataka kutuaminisha kuwa Polepole kapuuzwa,ila ukweli Serikali inatamani imdake ata Leo.
Jana Polepole katoa madai kuwa Mtoto wa Rais ,bwana Abdul, ana genge la kuteka watu, na kuhaidi kuleta mashahidi wa Siri watakaodhibitisha jinzi Abdul anavyomiliki genge la watekaji.
Kinachofurahisha Polepole lazima ana details za watekaji, i believe jinsi serikali inavyo m-provoke atawataja siku Moja.
Mto wa mbu
Illinois -USA