Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Tunaelekea pazuri sasaUkweli mchungu CCM na Samia wanaumia mno yaani mnoo juu ya madai yanayoibuliwa na Hamphley Polepole.
Machawa wanataka kutuaminisha kuwa Polepole kapuuzwa,ila ukweli Serikali inatamani imdake ata Leo.
Jana Polepole katoa madai kuwa Mtoto wa Rais ,bwana Abdul, ana genge la kuteka watu, na kuhaidi kuleta mashahidi wa Siri watakaodhibitisha jinzi Abdul anavyomiliki genge la watekaji.
Kinachofurahisha Polepole lazima ana details za watekaji, i believe jinsi serikali inavyo m-provoke atawataja siku Moja.
Mto wa mbu
Illinois -USA
Samia alikuwa ana enjoy kina Mrema wanagyomkosea Lissu,,,Sasa imekula kwakwe😁Sema kimeumana!!
WaitAwataje
ElaborateJamaa yangu mfuga madevu Pale Kis***** Muda huu ndio halali kabisa.
😁Safi sana. Kama namuona vile mama Abdul anavyochachawa kumpigia simu IGP kumuuliza alimtuma nani kwenda kupeleleza tukio la kutekwa kwa dadake Polepole?
Elimination Team Leader.Elaborate
Atawataja wakati sahihi. Watanzania wengi huwa mnataka kusikiliza mambo serious yanahotaji kuchukulia hatua kali kama simulizi za Esopo.Awataje
Ni kama vile twaimaliza Kitonga na twaanza kuitafut Mikumi.Tunaelekea pazuri sasa
Mashahidi wenyewe ni sativa na roma 😆Ukweli mchungu CCM na Samia wanaumia mno yaani mnoo juu ya madai yanayoibuliwa na Hamphley Polepole.