Polepole kutelekezwa na wenzake wakina Bashiru, Butiku na Warioba inasikitisha

Polepole kutelekezwa na wenzake wakina Bashiru, Butiku na Warioba inasikitisha

Na nyie nyumbu mliokua mnajaza comments huku mkisema mko pamoja nae hamjamsaliti? Yani tayari mmeshajitoa?

ila Nyumbu
 
..hao wazee wanajulikana kuwa ni waoga.

..kama ulitegemea watamtetea Polepole basi wewe ndio una matatizo.
 
Sasa kama mtu anajitafutia matatizo yasiyo ya lazima kwanini umsapoti? Hao wazee hawajawahi kushirikiana na wapuuzi kama Polepole kwenye kuropoka ujinga.
 
Hapa Tanzania unakufa peke yako kila mtu anafunga mwango wake
 
Polepole ndio maana alikuja Tz bila woga akijua kila kitu kitajipa mapema. Pengine walikuwa na network kwenye vyombo vya usalama na hao wazee
Wabongo sio wa kuwaamini muda wowote wanakuuza.
 
..hao wazee wanajulikana kuwa ni waoga.

..kama ulitegemea watamtetea Polepole basi wewe ndio una matatizo.
Waoga??
Hao wangekuwepo leo toka pindi la Nyerere?
Mbona wanadunda tu na hawafi,hawajawahi kuandamana,wala kubisha chochote,mijadala ipo tu ila si ya kupindua meza.wazee wako hapo wanapumzika.
Kesho mkaandamane Ili Murilo na wenzie wapate kazi kidogo.
Masaa 24 mnasubiriwa huko
 
Watz wanafiki sana yani tangu level ya familia hadi taifa! Kumuamini mbongo inahitaji kipaji
 
Waoga??
Hao wangekuwepo leo toka pindi la Nyerere?
Mbona wanadunda tu na hawafi,hawajawahi kuandamana,wala kubisha chochote,mijadala ipo tu ila si ya kupindua meza.wazee wako hapo wanapumzika.
Kesho mkaandamane Ili Murilo na wenzie wapate kazi kidogo.
Masaa 24 mnasubiriwa huko

..Muliro tena?

..nilidhani Abduli na Wanu ndio watakuwepo kitaa kuzuia maandamano.

..kwa hiyo watoto wa vigogo watakuwa majumbani wanakula urojo halafu maaskari watoto wa masikini ndio wakataabike na waandamanaji?
 
Pole pole sio mwenzake Jaji warioba. Polepole alisariti msimamo wa katiba mpya
 
My friend, vita ni calculations and knowing when to strike back. If you let your emotions decide then you have already lost.
 
Back
Top Bottom