GE2025 Polepole kwisha kwisha kabisa nyanga nyanga mlalo wa chali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
3,040
Reaction score
4,529
Samia anapendwa mno na makundi yote na polepole aliyemdanganya kuonge yale atakuwa anacheka namna ambavyo kamuingiza kingi.

Jamani shule muhimu sana laiti polepole angesoma seminari angekuwa mtu wa reasoning kubwa na siyp mkurupukaji

I'm proud being seminarian
 
Kwisha kabisa, Ndembe ndembeee Kifo cha mende. (In Lipumba's voice)
 
Samia anapendwa mno na makundi yote na polepole aliyemdanganya kuonge yale atakuwa anacheka namna ambavyo kamuingiza kingi.

Jamani shule muhimu sana laiti polepole angesoma seminari angekuwa mtu wa reasoning kubwa na siyp mkurupukaji

I'm proud being seminarian
Sometimes JF is a stress free forum😂
 
Pole pole mtu wa hovyo sana, hovyo kabisa, hovyo sana
 
Jana the boss alikuwa anaongea sauti ambayo ni kama anahitaji pumziko la muda mrefu. Asipo angalia mama kiz atamhifadhi kama wengine waliopita walivyo hifadhiwa.
 
Mtu anapendwa hapohapo anakwepesha uwepo wa tume huru ya uchaguzi.
Anajua kuwa siku akitoka madarakani hakuna atakayeongoza watanzania kwa upendo kama yeye. Yatakuja akina magufuli tena
 
Samia anapendwa mno na makundi yote na polepole aliyemdanganya kuonge yale atakuwa anacheka namna ambavyo kamuingiza kingi.

Jamani shule muhimu sana laiti polepole angesoma seminari angekuwa mtu wa reasoning kubwa na siyp mkurupukaji

I'm proud being seminarian
Msikilize mseminari mwenzio, ila huyu ni nguli zaidi and he non parisan
 
Back
Top Bottom