Sometimes JF is a stress free forum😂Samia anapendwa mno na makundi yote na polepole aliyemdanganya kuonge yale atakuwa anacheka namna ambavyo kamuingiza kingi.
Jamani shule muhimu sana laiti polepole angesoma seminari angekuwa mtu wa reasoning kubwa na siyp mkurupukaji
I'm proud being seminarian
Anajua kuwa siku akitoka madarakani hakuna atakayeongoza watanzania kwa upendo kama yeye. Yatakuja akina magufuli tenaMtu anapendwa hapohapo anakwepesha uwepo wa tume huru ya uchaguzi.
Duh,Samia anapendwa mno na makundi yote..
Vijana, wakulima, wjasiriamali, wawekezaji nkDuh,
Makundi gani??
Ila hakuzidiPole pole mtu wa hovyo sana, hovyo kabisa, hovyo sana
Msikilize mseminari mwenzio, ila huyu ni nguli zaidi and he non parisanSamia anapendwa mno na makundi yote na polepole aliyemdanganya kuonge yale atakuwa anacheka namna ambavyo kamuingiza kingi.
Jamani shule muhimu sana laiti polepole angesoma seminari angekuwa mtu wa reasoning kubwa na siyp mkurupukaji
I'm proud being seminarian