Joshua justine
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 792
- 1,015
- Thread starter
-
- #21
Mkuu Ccm sio nyoka, Nyerere alipoweka misingi waTz tuitane ndugu, rasilimali ziwe zetu sote, ubaguzi hakuna n.k akaanzisha chama hicho hakuwa nyoka soma katiba yao, ila kimetekwa na majoka, sasa ni JUMBA BOVU,Halafu Chama kipya kitokane na CCM ile ile!! Kweli??? Hajui "Mtoto wa Nyoka ni Nyoka??"
Hapa ni sheria ya historia ndio itakayoamua, hakuna nguvu itakayozuia hilo, hata ukipinga, mafisadi hamtatawala taaifa hili kwa muda mrefu sana kama mnavyoota.Upaze sauti ya nini? Kuleta ukabila na ukanda Tanzania?
Tena tunazidi kuwatambua mmoja mmoja! Tutawarudisha wote kwenu Burundi majinga nyie
Polepole sijui anawaonaje wanaccm wenzake.Nawasalimu wadau wote wa jukwaa hili; ninaomba tushirikiane kwa pamoja kuangalia jambo hili kutoka pande mbalimbali na kuona kama linaweza kuwa ni uamuzi sahihi kwa majira haya ambayo taifa letu limefikia sasa...
KarmaHapa ni sheria ya historia ndio itakayoamua, hakuna nguvu itakayozuia hilo, hata ukipinga, mafisadi hamtatawala taaifa hili kwa muda mrefu sana kama mnavyoota.
Anza na Bashiru na Katibu wa ccm Mara. Na yule mwingine aliyepewa uraia kwa maagizo ya Jiwe na akateuliwa kuwa waziriUpaze sauti ya nini? Kuleta ukabila na ukanda Tanzania?
Tena tunazidi kuwatambua mmoja mmoja! Tutawarudisha wote kwenu Burundi majinga nyie
leo wanataka tuwaunge mkono😅😅😅Binadamu bana, wakati mnakula mnafaidi kwenye ma-vieiteee mlikuwa kimya hamkutaka tusaidiane kupiga makelele mapungufu, sasa hvi mambo yamebadilika mnataka tujiunge nanyi kukemea maovu - hii siyo sahihi - sasa ni hivi kila mtu apambane na hali yake.
Sisi watanzania priority yetu kwa sasa ni katiba mpya, sasa yeyote asiyetaka katiba mpya ni adui yetu - over.
Chadema wana ushawishi ila hawana priorities na wameonesha udhaifu kwamba wanaweza adopt uozo toka CCM hata wakipewa nchi itakuwa same old stories!Mkuu hivi huioni chadema Kama Ni strong party to take over after the death of ccm? Mikutano inakatazwa kwa mabomu na he unahisi hicho chama kipya ndo mikutano yake itaruhusiwa na hawahawa polisi. Shida siyo chama shida Ni watu kujitoa muhanga ikitokea polisi wakakataa mikutano mnafanya hivyohivyo polisi wanawaua wote siku nyingine wanafanya wengine polisi wanaua wote, siku nyine Tena wanafanya wengine mpaka polisi watakapochoka kuua
baliana na ww, chadema ndio wameshafanya hivyo unavyosema na sasa polisi wamewafanya hivyo unavyosema Lissu hayupo nchini , Mbowe hatujui hatima yake na pengine wakatumia mwanya huo kumchelewesha kuja kujipanga na 2025, sasa niambie tunategemea nn tena na 2025 , Mungu atupe uzima, sio mbali mkuu, dawa ni kupata nguvu mpya tu,
Mkuu umepita mulemule, katiba mpya ,Chadema wana ushawishi ila hawana priorities na wameonesha udhaifu kwamba wanaweza adopt uozo toka CCM hata wakipewa nchi itakuwa same old stories...
Eeh muhimu tuweke suggestions maana hili lisiishie kuwa wimbo tu labda itasaidia!Mkuu umepita mulemule, katiba mpya ,
Uzuri wa demokrasia kuanzisha chama ni haki ya wale watakaokidhi vigezo vya kikatiba bila kuvunja sheria, sio dhambi, halafu raia watasikiliza sera za ccm, cdm na hao wapya kisha wataamua,Nimecheka kwa nguvu post yako namba moja, kwamba muanzishe chama kingine, lakini sio kubadili mazingira yaliyopo. Hivi mnadhani bado watanzania ni wajinga kuwa wataletewa chama kingine na ccm na bado waingie mkenge? Nyie anzisheni chama...
Umechambua kweli kuwa zama za ccm zimekwisha.Nawasalimu wadau wote wa jukwaa hili; ninaomba tushirikiane kwa pamoja kuangalia jambo hili kutoka pande mbalimbali na kuona kama linaweza kuwa ni uamuzi sahihi kwa majira haya ambayo taifa letu limefikia sasa...
Mkuu kumbuka watakaohama Kule CCM kuja kuanzisha Chama kipya, watakuwa wameacha makoti yao huko nyuma. Kuna siku watayakumbuka na kuyafuata.Mkuu Ccm sio nyoka, Nyerere alipoweka misingi waTz tuitane ndugu, rasilimali ziwe zetu sote, ubaguzi hakuna n.k akaanzisha chama hicho hakuwa nyoka soma katiba yao, ila kimetekwa na majoka, sasa ni JUMBA BOVU,
mokrasia kuanzisha chama ni haki ya wale watakaokidhi vigezo vya kikatiba bila kuvunja sheria, sio dhambi, halafu raia watasikiliza sera za ccm, cdm na hao wapya kisha wataamua,