Pole naona una hisi kichefuchefu ukiona ukweli unawekwa wazi bwana mdogo.Mtambue kama Rais wa Sita tu, inatosha huo mjadala wenu awamu ni wa watu wenye akili ndogo wanaopenda kujikita kwenye petty issues.
Huu ulikua muda mzuri sema tatzo hakuna chama cha upinzani nowCCM inaanguka mikonon mwa samia na kikwete, mark my words.
Whether awamu ya tano au sita au nne au saba inapunguza, kuongeza au kubadilisha nini?Ahahaaaa...
βTumeamua kuwa wakweli basi acha tuseme bila kupepesa, Rais wa sasa anamalizia Awamu ya 5 ya hayati JPM, ambaye kwa mapenzi ya MUNGU aliishia njiani.
βKinachofanyika sasa ni usanii wa kisiasa wakulazimisha wananchi wamtambue Rais wa sasa kama Rais wa awamu ya 6.
Msemo wa kiswahili unasema...Whether awamu ya tano au sita au nne au saba inapunguza, kuongeza au kubadilisha nini?
Ila unataka wengine waanzishe chama kwa utashi wako!
Hakuna chama kinachoanza na wanachama nchi nzima lazima kianze na wachache wanaotoka location flani hakuna wanaodondoka kutoka mbinguni. What you are talking is theoretical.
Halafu kuna vitu ukizungumza wanakuona kama ww ni ccm, lakini ndio ukweli.CDM, kwa mfano, ina umri wa miaka takribani 30, lakini national leadership yake imebaki kuwa highly concentrated mahali pamoja! WTF? Opposition parties zingine pia zina shida kama hiyo.
Chadema ipo nchi nzima. Tarime, mwanza, mbeya, kigoma n.k na uongozi unesambaa kila Kona usidanganye watuCDM, kwa mfano, ina umri wa miaka takribani 30, lakini national leadership yake imebaki kuwa highly concentrated mahali pamoja! WTF? Opposition parties zingine pia zina shida kama hiyo.
Chadema inawaza ukombozi wa nchi hilo ndo tatizo na hili ndilo linalofanya uongozi wa juu usibadilike. Viongozi wa ukombozi huwa wanakaa sana madarakani. Nchi imajitaji chama mbadala wa ccm na sio chama mkombozi.Chadema ipo nchi nzima. Tarime, mwanza, mbeya, kigoma n.k na uongozi unesambaa kila Kona usidanganye watu
Tena Polepole ni mtu mbaya sn kupita kiasiHalafu Chama kipya kitokane na CCM ile ile!! Kweli??? Hajui "Mtoto wa Nyoka ni Nyoka??"
Kwani huoni Kama tu mateka ndani ya nchi yetu. Kama mtu anaweza potea and no one bothers si ni ukoloni huo. Akina azori gwanda wako wapi, akina ben saa babe wako wapi. Lisu amechapwa risasi 32 mchana kweupe na serikali ya jpm. Ndo Mana tunasema tunataka Uhuru au ukombozi kutoka kwenye mkoloni ccmChadema inawaza ukombozi wa nchi hilo ndo tatizo na hili ndilo linalofanya uongozi wa juu usibadilike. Viongozi wa ukombozi huwa wanakaa sana madarakani. Nchi imajitaji chama mbadala wa ccm na sio chama mkombozi.
Utashi pekee nilionao ni kukikataa chama kisichokuwa na sura ya kitaifa. Que mas?
Hebu kaa kwa kutulia we bendera fuata upepo.
Hiyo mwanza tu kwa mfano ama mbeya ni kubwa sana, kwa ujumla mikoa yote ni mikubwa sana , hawajafika vizuri kwa wapiga kura wote, unaweza ukasema upo mbeya labda kyela kumbe umefika vijiji vitatu tu kuna 15, hujakanyaga,Chadema ipo nchi nzima. Tarime, mwanza, mbeya, kigoma n.k na uongozi unesambaa kila Kona usidanganye watu
.. Bravo ππ ππ½Binadamu bana, wakati mnakula mnafaidi kwenye ma-vieiteee mlikuwa kimya hamkutaka tusaidiane kupiga makelele mapungufu, sasa hvi mambo yamebadilika mnataka tujiunge nanyi kukemea maovu - hii siyo sahihi - sasa ni hivi kila mtu apambane na hali yake.
Sisi wananchi priority yetu kwa sasa ni katiba mpya, sasa yeyote asiyetaka katiba mpya ni adui yetu - over.
Angalia chizi huyu, ni nani mwenye akili timamu anaweza kuchagua CDM? Chama ambacho hakieleweki kinasimamia nini, Jana ufisadi wakaungana na ufisadi wakaanza kudai demecrasia ya kufisadi bila kushughulikiwa.Nimecheka kwa nguvu post yako namba moja, kwamba muanzishe chama kingine, lakini sio kubadili mazingira yaliyopo. Hivi mnadhani bado watanzania ni wajinga kuwa wataletewa chama kingine na ccm na bado waingie mkenge?
Nyie anzisheni chama, lakini msitegemee hawa watu wanaikubali cdm kuwa mtawateka kwa hizo porojo za uzalendo kwa uchwara, kibaya zaidi uzalendo wenu ni huo wa falsafa za Magufuli!
CCM mlishindwa kuanzisha chama mkiwa na ushawishi, mtaweza sasa wakati mnategemea wizi wa kura? Anzishenu chama hapo ndio mtajuwa watu wanajitambua.
Bendera ni wewe ambaye kazi ya kufikiria umewaachia kina Mbowe/Lissu. Chochote waamuacho, hata kama ni bullshit, twende kazi!
ia chizi huyu, ni nani mwenye akili timamu anaweza kuchagua CDM? Chama ambacho hakieleweki kinasimamia nini, Jana ufisadi wakaungana na ufisadi wakaanza kudai demecrasia ya kufisadi bila kushughulikiwa.
Demokrasi waliyoitaka Wameipata sasa wanadai katiba mpya. Baada ya hapo sijui watatoka na kick gani...
Huwezi kuwakuta kamwe wakiongelea shida na matatizo ya wananchi.
Tunataka chama kipya kitakacho endeleza mapambano aliyoyaanzisha MAGUFULI!
sio hawa panya!
Yes, hayo hayo.Mapambano aliyoianzisha Magufuli ya kuteka watu?