Polepole, Mangula na wengine; wakati ndio huu

Polepole, Mangula na wengine; wakati ndio huu

Mtambue kama Rais wa Sita tu, inatosha huo mjadala wenu awamu ni wa watu wenye akili ndogo wanaopenda kujikita kwenye petty issues.
Pole naona una hisi kichefuchefu ukiona ukweli unawekwa wazi bwana mdogo.

Kuna ule udongo flani unauzwa sokoni ni special kwa watu wenye kichefuchefu!.
 
Ahahaaaa...
●Tumeamua kuwa wakweli basi acha tuseme bila kupepesa, Rais wa sasa anamalizia Awamu ya 5 ya hayati JPM, ambaye kwa mapenzi ya MUNGU aliishia njiani.

●Kinachofanyika sasa ni usanii wa kisiasa wakulazimisha wananchi wamtambue Rais wa sasa kama Rais wa awamu ya 6.
Whether awamu ya tano au sita au nne au saba inapunguza, kuongeza au kubadilisha nini?
 
Whether awamu ya tano au sita au nne au saba inapunguza, kuongeza au kubadilisha nini?
Msemo wa kiswahili unasema...
"Usimuamshe aliye lala"

So bado hakujakucha vuta shuka subiri ulione ⛅ !.
 
Hakuna chama kinachoanza na wanachama nchi nzima lazima kianze na wachache wanaotoka location flani hakuna wanaodondoka kutoka mbinguni. What you are talking is theoretical.

CDM, kwa mfano, ina umri wa miaka takribani 30, lakini national leadership yake imebaki kuwa highly concentrated mahali pamoja! WTF? Opposition parties zingine pia zina shida kama hiyo.
 
CDM, kwa mfano, ina umri wa miaka takribani 30, lakini national leadership yake imebaki kuwa highly concentrated mahali pamoja! WTF? Opposition parties zingine pia zina shida kama hiyo.
Halafu kuna vitu ukizungumza wanakuona kama ww ni ccm, lakini ndio ukweli.
Ccm sio Mungu wala sio mama kwamba haiwezi kubadirika lakini hakuna chama kilichoandaliwa kuwa na sifa za kufanya hivyo mpaka sasa ndio maana kila uchaguzi unapofika watu wanakosa mbadala, ccm inabakia madarakani.
 
CDM, kwa mfano, ina umri wa miaka takribani 30, lakini national leadership yake imebaki kuwa highly concentrated mahali pamoja! WTF? Opposition parties zingine pia zina shida kama hiyo.
Chadema ipo nchi nzima. Tarime, mwanza, mbeya, kigoma n.k na uongozi unesambaa kila Kona usidanganye watu
 
Chadema ipo nchi nzima. Tarime, mwanza, mbeya, kigoma n.k na uongozi unesambaa kila Kona usidanganye watu
Chadema inawaza ukombozi wa nchi hilo ndo tatizo na hili ndilo linalofanya uongozi wa juu usibadilike. Viongozi wa ukombozi huwa wanakaa sana madarakani. Nchi imajitaji chama mbadala wa ccm na sio chama mkombozi.
 
Kwani huoni Kama tu mateka ndani ya nchi yetu. Kama mtu anaweza potea and no one bothers si ni ukoloni huo. Akina azori gwanda wako wapi, akina ben saa babe wako wapi. Lisu amechapwa risasi 32 mchana kweupe na serikali ya jpm. Ndo Mana tunasema tunataka Uhuru au ukombozi kutoka kwenye mkoloni ccm
 
Chadema ipo nchi nzima. Tarime, mwanza, mbeya, kigoma n.k na uongozi unesambaa kila Kona usidanganye watu
Hiyo mwanza tu kwa mfano ama mbeya ni kubwa sana, kwa ujumla mikoa yote ni mikubwa sana , hawajafika vizuri kwa wapiga kura wote, unaweza ukasema upo mbeya labda kyela kumbe umefika vijiji vitatu tu kuna 15, hujakanyaga,
 
Binadamu bana, wakati mnakula mnafaidi kwenye ma-vieiteee mlikuwa kimya hamkutaka tusaidiane kupiga makelele mapungufu, sasa hvi mambo yamebadilika mnataka tujiunge nanyi kukemea maovu - hii siyo sahihi - sasa ni hivi kila mtu apambane na hali yake.

Sisi wananchi priority yetu kwa sasa ni katiba mpya, sasa yeyote asiyetaka katiba mpya ni adui yetu - over.
.. Bravo 👏👏 👊🏽
 
Nimecheka kwa nguvu post yako namba moja, kwamba muanzishe chama kingine, lakini sio kubadili mazingira yaliyopo. Hivi mnadhani bado watanzania ni wajinga kuwa wataletewa chama kingine na ccm na bado waingie mkenge?

Nyie anzisheni chama, lakini msitegemee hawa watu wanaikubali cdm kuwa mtawateka kwa hizo porojo za uzalendo kwa uchwara, kibaya zaidi uzalendo wenu ni huo wa falsafa za Magufuli!

CCM mlishindwa kuanzisha chama mkiwa na ushawishi, mtaweza sasa wakati mnategemea wizi wa kura? Anzishenu chama hapo ndio mtajuwa watu wanajitambua.
Angalia chizi huyu, ni nani mwenye akili timamu anaweza kuchagua CDM? Chama ambacho hakieleweki kinasimamia nini, Jana ufisadi wakaungana na ufisadi wakaanza kudai demecrasia ya kufisadi bila kushughulikiwa.
Demokrasi waliyoitaka Wameipata sasa wanadai katiba mpya. Baada ya hapo sijui watatoka na kick gani...
Huwezi kuwakuta kamwe wakiongelea shida na matatizo ya wananchi.
Tunataka chama kipya kitakacho endeleza mapambano aliyoyaanzisha MAGUFULI!
sio hawa panya!
 
Mapambano aliyoianzisha Magufuli ya kuteka watu?
ia chizi huyu, ni nani mwenye akili timamu anaweza kuchagua CDM? Chama ambacho hakieleweki kinasimamia nini, Jana ufisadi wakaungana na ufisadi wakaanza kudai demecrasia ya kufisadi bila kushughulikiwa.

Back
Top Bottom