Mkuu,
Kaongea akiwa na akili timamu / tena kasema anataka kwenda mbinguni/ peponiiiii.

POLEPOLE KASEMA ANATAKA NCHI IPONE

UNADHANI POLEPOLE ANGEAMUA ZAKE KUKAA KIMYA NA KULA ZAKE BATA ALIKUA NA SHIDAAAAA GANII

CREDIBILITY YA POLEPOLE KWA WATANZANIA NI KUBWA MNO

UKIFANYA REASONING NDOGO NI KWA NINI POLEPOLE AZUMGUMZE YOTE HAYO SASA NA SI WAKATI MWINGINE
 
Hatuna mengi yakusema ila Pole pole katurudisha kwenye machungu tulisha yasahau ila kaamua kutukumbusha hii weekend ilikua sio yakututoa machozi watanzania ila umeamua kufanya hivyo hatuna lakukufanya ila Asante.
Tulitegemea tutumie hii weekend kufurahi na familia ila mambo yamegeuka🙏🙏🙏🙏
 

Attachments

  • 1756551520764.jpg
    134.2 KB · Views: 27
Wewe ndio asili ya Watanzania halisi.
 
Maswali ni mengi sana, na kwa kuwa hakuna uchunguzi wowote uliofanyika kuhusu kifo chake, Mungu pekee anajua nini kilichukua uhai wake.

Wabaya wake walianza kushangilia kifo chake kuanzia tarehe 11. Huku wakisema kabisa akitoka adharani basi wao wafir*e.

Safari za wakuu zikawa hazieleweki.

Familia haijui kinachoendelea.

Mgonjwa kaomba apelekwe kwao, kakataliwa. KWA KUWA MGONJWA ALIKUWA NA AKILI TIMAMU, TUNASEMA KUWA AMRI YA RAIS ILIPINGWA.
 
Aliamini sana waganga wa kienyeji, na hapo hospitali alikuwa anashindwa namna ya kuwaweka.

Hakuna ambaye angebeba risk hiyo ya kumtoa Rais hospitali bila kibali cha daktari
 
Amri ilitolewa na mgonjwa ambaye alijua zimebaki saa chache aage dunia, akapoteza kabisa uwezo wa kufikiria kwa usahihi. Tukijiweka kwenye hali aliyokuwa nayo dakika hiyo tutaweza kuona hisia za namna gani zilizokuwa ndani ya kichwa chake!.

Hakuitoa hiyo amri akiwa kasimama sehemu fulani na afya yake nzuri alikuwa hoi bin taaban.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…