Busu la Kenge JF-Expert Member Joined Jun 13, 2025 Posts 2,583 Reaction score 4,776 Jul 13, 2025 #1 Mods watu wangu wa nguvu badilisheni hapo kwenye heading njaa badala ya njia. Jamaa mjanja mjanja tu. Cuba sasa hivi Kuna njaa Kali. Mgao wa Kila kitu kwaanzia chakula, maji na umeme. Mwana kaona atoroke Kwa njia ya kujiuzulu. Na afunguliwe Tu kesi ya uhujumu uchumi. Kwasababu alipiga Sana hela za wajumbe alipokuwa katibu Mwenezi Kwa kuwadanganya atapitisha majina Yao.
Mods watu wangu wa nguvu badilisheni hapo kwenye heading njaa badala ya njia. Jamaa mjanja mjanja tu. Cuba sasa hivi Kuna njaa Kali. Mgao wa Kila kitu kwaanzia chakula, maji na umeme. Mwana kaona atoroke Kwa njia ya kujiuzulu. Na afunguliwe Tu kesi ya uhujumu uchumi. Kwasababu alipiga Sana hela za wajumbe alipokuwa katibu Mwenezi Kwa kuwadanganya atapitisha majina Yao.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Jul 13, 2025 #2 Tuupe muda wakati
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 11,915 Reaction score 28,284 Jul 13, 2025 #3 Zamani ilikuwa kiingereza Sasa hadi kiswahili nacho kimeanza kuwapiga chenga watanzania Hali inazidi kuwa mbaya 🤔
Zamani ilikuwa kiingereza Sasa hadi kiswahili nacho kimeanza kuwapiga chenga watanzania Hali inazidi kuwa mbaya 🤔
S stonecutter JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 2,446 Reaction score 3,616 Jul 13, 2025 #4 Soma tena kile umeandika mkuu. Naona kama spidi ilikuwa kali sana kiasi kwamba.....
fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 6,699 Reaction score 9,323 Jul 13, 2025 #5 Mshana Jr said: Tuupe muda wakati Click to expand... Ni kweli muda utaongea
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 13, 2025 #6 Aiseeeeeee
Kijakazi Platinum Member Joined Jun 26, 2007 Posts 10,860 Reaction score 18,819 Jul 13, 2025 #7 nafikiri balozi wa tanzagiza USA, japani au nchi yoyote ile tajiri ana njaa klk balozi wa tanzagiza kwenye nchi masikini, na sababu ni living expenses, nchi masikini dola inakufikisha mbali klk nchi tajiri. hivyo haiwezi kuwa njaa, njoo kivingine …
nafikiri balozi wa tanzagiza USA, japani au nchi yoyote ile tajiri ana njaa klk balozi wa tanzagiza kwenye nchi masikini, na sababu ni living expenses, nchi masikini dola inakufikisha mbali klk nchi tajiri. hivyo haiwezi kuwa njaa, njoo kivingine …