Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Polepole amekuwa kama mbwa anayebweka bweka tu. APUUZWEHio ni moja ya Kauli ya Humpery Polepole siku ya jana ambapo alidokeza kuwa iwapo hatua hazitachulikwa, atalazimika kuongea mambo ambayo watu hawatapenda kuyasikia.
Pia, Bwana Polepole alisema mpaka jana, alikuwa ameongea asilimia 50 tu ya mambo anayoweza kuongea.
Nachokiona ni kwamba, anayosema yakipuuzwa, basi na yeye anaongea zaidi.
Swali: Ni mambo gani hayo ambayo watu hawatapenda kuyasikia?
Muda utasema.
Wajinga kweli yaani hawataki tupate live updates ila akishamaliza kuongea mambo yote yanakuwa hadharaniHuyu mwamba anafanya mpaka jamaa wanazima mitandao 😄
Ova
Apuuzwe wakati mnazima mpaka mitandao?Polepole amekuwa kama mbwa anayebweka bweka tu. APUUZWE
Huwezi maliza vitendea kazi vyote. Nawajua wahuni vizuri.. anaenda nao kwa kiwango chaoAnalemba lemba nini? Amwage kila kitu , wakati ni huu.
Mzee wa Kino kama CCM ilinusurika 2015 ni ngumu sana kwa sasa hivi kuyumbishwa na Polepole. Laingwanan peke yake ndo alituvuruga. Pia hakuna mwanaCCM mjinga anayeweza kukubali CCM ianguke kwa sababu ikitokea itakuwa hatari mno.Huyu mwamba anafanya mpaka jamaa wanazima mitandao 😄
Ova
Jana alimwaga mazito mbona, ngoja tuone kama Wahuni watachomoka huko na kuja kujibu hoja.Analemba lemba nini? Amwage kila kitu , wakati ni huu.
Mimi natamani kufahamu huyu Polepole ana umri gani hadi sasa?Hio ni moja ya Kauli ya Humpery Polepole siku ya jana ambapo alidokeza kuwa iwapo hatua hazitachulikwa, atalazimika kuongea mambo ambayo watu hawatapenda kuyasikia.
Pia, Bwana Polepole alisema mpaka jana, alikuwa ameongea asilimia 50 tu ya mambo anayoweza kuongea.
Nachokiona ni kwamba, anayosema yakipuuzwa, basi na yeye anaongea zaidi.
Swali: Ni mambo gani hayo ambayo watu hawatapenda kuyasikia?
Muda utasema.
Kwani vyama vingine vya ukombozi barani Afrika viliangukaje?Mzee wa Kino kama CCM ilinusurika 2015 ni ngumu sana kwa sasa hivi kuyumbishwa na Polepole. Laingwanan peke yake ndo alituvuruga. Pia hakuna mwanaCCM mjinga anayeweza kukubali CCM ianguke kwa sababu ikitokea itakuwa hatari mno.
He is puppetHio ni moja ya Kauli ya Humpery Polepole siku ya jana ambapo alidokeza kuwa iwapo hatua hazitachulikwa, atalazimika kuongea mambo ambayo watu hawatapenda kuyasikia.