Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Virtually, sio uso kwa uso!Watamteka 😄
Ova
Virtually, sio uso kwa uso!Watamteka 😄
Ova
Hapo sawa,ila wasizime mitandaooVirtually, sio uso kwa uso!
unless kama yeye ni mtu wa kule hivyo anaweza kuwachenga kama Jasusi wa Uskochi,lakini kama ni mtu wa kawaida tuu anafikiwa popote!.Huyu yuko nje ya nchi na huenda alishaomba hifadhi ya kisiasa.
Ashaongea mara tatuHio ni moja ya Kauli ya Humpery Polepole siku ya jana ambapo alidokeza kuwa iwapo hatua hazitachulikwa, atalazimika kuongea mambo ambayo watu hawatapenda kuyasikia.
Pia, Bwana Polepole alisema mpaka jana, alikuwa ameongea asilimia 50 tu ya mambo anayoweza kuongea.
Nachokiona ni kwamba, anayosema yakipuuzwa, basi na yeye anaongea zaidi.
Swali: Ni mambo gani hayo ambayo watu hawatapenda kuyasikia?
Muda utasema.
Ukimsikia mtanzania anasema kama wewe eti anataka aambiwe mambo yanayohusu ''ustawi wa taifa'' utadhani ni jasiri na yuko tayari kuchukuwa hatua kali iwapo ataambiwa skandali za kiongozi, kumbe ni bure tu. Anataka asikilize kama hadithi. Wewe usiye mpuuzi jitose useme hayo mambo yenye maslahi....Polepole ni mpuuzi tu, anakua kama mwanamke. Anasubiri mambo yake yaende anavyotaka ili asibwabwaje, kama ni kwa maslahi ya taifa aongee bila kutishia tishia na kuongea kama konokono
Labda kwa nchi za kiafrika lakini sio ulaya. Watadakwa na kushitakiwa huko huko katika ardhi za watuunless kama yeye ni mtu wa kule hivyo anaweza kuwachenga kama Jasusi wa Uskochi,lakini kama ni mtu wa kawaida tuu anafikiwa popote!.
P
Hizo hoja alizotoa ni nyepesi? Zingekuwa nyepesi kina kibibi wangezima mitandao kila anapozungumza?Ndugu polepole inaonekana unafanya mzaha dhidi ya upinzani halisi wa chadema ili ku pay out attention kwenye mambo ya chadema kipindi hiki jadidi. Kama unapasua mbarika pasua tu sio unawasubirisha wananchi wakae mkao wa kukusikiliza halafu nakuja na hoja nyepesi
KivipPolepole amekuwa kama mbwa anayebweka bweka tu. APUUZWE
Wa kupuuzwa ni hicho kibibi chenu kinamwogopa Polepole mpaka kinazima mitandao. Subiri ''wajanja'' wanakilia timing tu, hawa vijana wanaopotea wote kitakuja kuwatapika...Polepole amekuwa kama mbwa anayebweka bweka tu. APUUZWE
Zama na nyakati zimebadilika kwa Kasi sana. Usifananishe zama za akina Dr. Salmin na Balozi Ali Karume na nyakati za Sasa.huyu ni ofisa wa serikali wa ngazi ya mwandamizi amekula kiapo cha kukutoa siri for life, akipayuka siri watamfikia!,unadhani ukimya wa, Aboud Jumbe,Dr。Salmin na Balozi Ali Karume ni wao wameamua kukaa kimya?, wamekimyiishwa!,Na wakiona na ngumu kumkimyiisha,then wanamnyamazisha jumla!
P
Kuna tofauti kubwa kati ya kikundi cha wahuni na serikali. Huwezi kukiitwa kikundi cha wahuni kilichopo sasa hivi ambacho kinaua hovyo vijana wanaokosoa eti ni serikali.huyu ni ofisa wa serikali wa ngazi ya mwandamizi amekula kiapo cha kutotoa siri za serikali for life!, akipayuka siri sensitive, anageuka hatari kwa usalama wa Taifa!, hivyo
watamfikia!,unadhani ukimya wa, Aboud Jumbe,Dr。Salmin na Balozi Ali Karume ni wao wenyewe wameamua kukaa kimya?, wamekimyiishwa!,Na wakiona ni ngumu kumkimyiisha,then wanaweza hata
wakamnyamazisha jumla!
P
Wanajua kabisa kuwa Polepole ni tishio ndiyo maana wanazima mitandao. Hwa wanaopiga filimbi huku mitandaoni ni wa kupuuzwa.Zama na nyakati zimebadilika kwa Kasi sana. Usifananishe zama za akina Dr. Salmin na Balozi Ali Karume na nyakati za Sasa.
Polepole ameamua kujilipua. Hadi amechukua maamuzi hayo anajua madhara yake.
Kwa taarifa tulizo nazo hapa mjini jamaa amerekodi clip za kutosha na ameweka mambo yote hadharani. Hata ya chumbani yamewekwa wazi.
Wakijaribu kufanya upumbavu kama wanaofanya na waliofanya kwa wengine itakula kwao.