Polepole: Mkutano ujao nitaongea mambo ambayo hawatapenda kuyasikia

Hio ni moja ya Kauli ya Humpery Polepole siku ya jana ambapo alidokeza kuwa iwapo hatua hazitachulikwa, atalazimika kuongea mambo ambayo watu hawatapenda kuyasikia.

Pia, Bwana Polepole alisema mpaka jana, alikuwa ameongea asilimia 50 tu ya mambo anayoweza kuongea.

Nachokiona ni kwamba, anayosema yakipuuzwa, basi na yeye anaongea zaidi.

Swali: Ni mambo gani hayo ambayo watu hawatapenda kuyasikia?

Muda utasema.
Mbona anapenda sana kuona watu wanapenda udaku...
Anaongea kwa kujihami sana kama vipi aongee yote au asilimia 90...
Asipoeleweka 90% amalizie hio 10 percent
 
Hio ni moja ya Kauli ya Humpery Polepole siku ya jana ambapo alidokeza kuwa iwapo hatua hazitachulikwa, atalazimika kuongea mambo ambayo watu hawatapenda kuyasikia.

Pia, Bwana Polepole alisema mpaka jana, alikuwa ameongea asilimia 50 tu ya mambo anayoweza kuongea.

Nachokiona ni kwamba, anayosema yakipuuzwa, basi na yeye anaongea zaidi.

Swali: Ni mambo gani hayo ambayo watu hawatapenda kuyasikia?

Muda utasema.
Kama hiki alichoongea ndo 50% basi hakuna kazi, nendeni mkalime nyie nyumbu mufaidi mamilioni ya Mama Samia kutokana na sera zake nzuri za kilimo mnajichelewesha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mi nilifikiri ni 0.005% tu, kumbe 50%?!!!🤣🤣🤣🤣
Bado hajui chochote mpuuzi huyo, lofa tu kama manyumbu wengi wa humu.
 
HHuyu nae wakupuuuzwa.
Ila watanzania wanakawaida ya kupenda watu dizain hii

Polepole anawapumbaza wajinga.
 
Polepole ni mpuuzi tu, anakua kama mwanamke. Anasubiri mambo yake yaende anavyotaka ili asibwabwaje, kama ni kwa maslahi ya taifa aongee bila kutishia tishia na kuongea kama konokono
Tulia next episode mbona una haraka🤣🤣
 
Magufuli alijitahidi kutengeneza CCM ikawa ya kila mtu mama ampambane na ilo CCM iwe ya kila mtu kipindi cha Magufuli hata watoto wa Viongozi walikua na nidhamu sana
Baadhi waliacha kuwashwa washwa kabisa wakawa ni raia wema kabisa. 😳 !
😅😅😄😄🤣😂 !
 
Kama hiki alichoongea ndo 50% basi hakuna kazi, nendeni mkalime nyie nyumbu mufaidi mamilioni ya Mama Samia kutokana na sera zake nzuri za kilimo mnajichelewesha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mi nilifikiri ni 0.005% tu, kumbe 50%?!!!🤣🤣🤣🤣
Bado hajui chochote mpuuzi huyo, lofa tu kama manyumbu wengi wa humu.
Inaonekana kakutisha sana.
 
Taifa kwanza wakae waongee hii ya kuviziana haina maana busara itumike ni sawa na mkeo ukimwacha huku anajua siri zako zote huenda ulikuwa na mchawi unamushirikisha atasema mbwai na iwe mbwai
 
Swali: Ni mambo gani hayo ambayo watu hawatapenda kuyasikia?
Mambo atakayoongea Polepole ni :-
1. Mstaafu anamchapia bwana Ameir.
2. Mstaafu halipi Kodi ktk biashara zake.
3. Mstaafu ndiye anaongoza genge la wahuni.
4. Mstaafu ndiye aliyepqnga mipango yote ya bwana yule kupendwa zaidi na Allah

Jana Polepole alilisisitiza sana kupigia mstari neno mstaafu.
 
Hio ni moja ya Kauli ya Humpery Polepole siku ya jana ambapo alidokeza kuwa iwapo hatua hazitachulikwa, atalazimika kuongea mambo ambayo watu hawatapenda kuyasikia.

Pia, Bwana Polepole alisema mpaka jana, alikuwa ameongea asilimia 50 tu ya mambo anayoweza kuongea.

Nachokiona ni kwamba, anayosema yakipuuzwa, basi na yeye anaongea zaidi.

Swali: Ni mambo gani hayo ambayo watu hawatapenda kuyasikia?

Muda utasema.
Mi naona Pole pole hana jipya tena kwa sasa ameisha poteza mwelekeo.kwanza anatoa taarifa mapema jamaa wanazima mitandao.anatumalizia bando tu .anajua wanazima mitandao halafu anawapa taarifa simwelewi mimi.
 
Aongee tu akimaliza akakojoe akalale watu wanampuuza tu hakuna wa kumjibu
 
Back
Top Bottom