Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 1,794
- 3,350
Next time nahisi atarekodi atumeHuyu mwamba anafanya mpaka jamaa wanazima mitandao 😄
Ova
Next time nahisi atarekodi atumeHuyu mwamba anafanya mpaka jamaa wanazima mitandao 😄
Ova
Mbona kama mnaogopa sana.... Mwacheni aseme.... Nchi hii ni yetu sotePolepole amekuwa kama mbwa anayebweka bweka tu. APUUZWE
Watamjibu tu, ngoje aje kuhara vizuri mtafunika pua zenu chafuAongee tu akimaliza akakojoe akalale watu wanampuuza tu hakuna wa kumjibu
Ukimpuuza wewe inatosha usituuzie ujinga wakoPolepole amekuwa kama mbwa anayebweka bweka tu. APUUZWE
Afanye fasta maana nao wako mbele ya mudaHio ni moja ya Kauli ya Humpery Polepole siku ya jana ambapo alidokeza kuwa iwapo hatua hazitachulikwa, atalazimika kuongea mambo ambayo watu hawatapenda kuyasikia.
Pia, Bwana Polepole alisema mpaka jana, alikuwa ameongea asilimia 50 tu ya mambo anayoweza kuongea.
Nachokiona ni kwamba, anayosema yakipuuzwa, basi na yeye anaongea zaidi.
Swali: Ni mambo gani hayo ambayo watu hawatapenda kuyasikia?
Muda utasema.
Kuna tofauti kubwa kati ya kikundi cha wahuni na serikali. Huwezi kukiitwa kikundi cha wahuni kilichopo sasa hivi ambacho kinaua hovyo vijana wanaokosoa eti ni serikali.
Pole Pole naye aache mafumbo mafumbo! Abutue awaokoe WaTanganyika!Mstaafu aliyeudhuria kikao cha kupanga namna ya kuchagua mwenyekiti WA chama baada ya mtangulizi wake kukata kamba, mstaafu hakuwa sehemu wajumbe WA kikao hicho ila alijialika Tu na kuwa mchangiaji WA Kwanza...hahaha!
Kunguru wa zanzibar hao. Shauku yote asikie ayo mastori waende wakabishane vijiweni. Nothing else.Ukimsikia mtanzania anasema kama wewe eti anataka aambiwe mambo yanayohusu ''ustawi wa taifa'' utadhani ni jasiri na yuko tayari kuchukuwa hatua kali iwapo ataambiwa skandali za kiongozi, kumbe ni bure tu. Anataka asikilize kama hadithi. Wewe usiye mpuuzi jitose useme hayo mambo yenye maslahi....
Afanye bila kutangazaHio ni moja ya Kauli ya Humpery Polepole siku ya jana ambapo alidokeza kuwa iwapo hatua hazitachulikwa, atalazimika kuongea mambo ambayo watu hawatapenda kuyasikia.
Pia, Bwana Polepole alisema mpaka jana, alikuwa ameongea asilimia 50 tu ya mambo anayoweza kuongea.
Nachokiona ni kwamba, anayosema yakipuuzwa, basi na yeye anaongea zaidi.
Swali: Ni mambo gani hayo ambayo watu hawatapenda kuyasikia?
Muda utasema.
KabisaPole Pole naye aache mafumbo mafumbo! Abutue awaokoe WaTanganyika!
If that's true, what is ur ass doing up here?Polepole, watanzania wameishampuza kabakia na mipasho tu😂
Wanaohangaika naye ni wafuasi wa Chadema.
Polepole hana athari yeyote kwenye siasa za Tanzania hajawahi hata kushinda udiwani.
Ukiwa nje ndo kiapo kinaisha?Huyu yuko nje ya nchi na huenda alishaomba hifadhi ya kisiasa.
CCM ikianza kupuuza wakosoaji wake ndio itakuwa mwisho wa pumzi yake 🤔Polepole amekuwa kama mbwa anayebweka bweka tu. APUUZWE
Huyo ni Polepole ni mwendo wa PolepoleAnalemba lemba nini? Amwage kila kitu , wakati ni huu.
Ujinga ss wamefanya kaz gan kuzima na video ZipoWajinga kweli yaani hawataki tupate live updates ila akishamaliza kuongea mambo yote yanakuwa hadharani
Labda ajitoe Muhangahuyu ni ofisa wa serikali wa ngazi ya mwandamizi amekula kiapo cha kutotoa siri za serikali for life!, akipayuka siri sensitive, anageuka hatari kwa usalama wa Taifa!, hivyo
watamfikia!,unadhani ukimya wa, Aboud Jumbe,Dr。Salmin na Balozi Ali Karume ni wao wenyewe wameamua kukaa kimya?, wamekimyiishwa!,Na wakiona ni ngumu kumkimyiisha,then wanaweza hata
wakamnyamazisha jumla!
P