Polepole: Mkutano ujao nitaongea mambo ambayo hawatapenda kuyasikia

huyu ni ofisa wa serikali wa ngazi ya mwandamizi amekula kiapo cha kutotoa siri za serikali for life!, akipayuka siri sensitive, anageuka hatari kwa usalama wa Taifa!, hivyo
watamfikia!,unadhani ukimya wa, Aboud Jumbe,Dr。Salmin na Balozi Ali Karume ni wao wenyewe wameamua kukaa kimya?, wamekimyiishwa!,Na wakiona ni ngumu kumkimyiisha,then wanaweza hata
wakamnyamazisha jumla!
P
Ahsante kwa ufafanuzi.

Naomba kuuliza swali Moja. Binafsi natatizwa na hili jambo nikiliweka kwenye Ile ishu ya VOICES FROM WITHIN. japo hii haijatoka within you, ila ni zile sauti.

Sasa wewe ukiipima unaona inatoka kwa YEYE au ni just yeye? Nini kinaweza tokea endapo hii sauti ni ya YEYE? Na wahusika kuendelea kukaidi?
 
Mkuu eksieksi, @xx kwanza nafarijika sana ninapokutana na member hata mmoja tuu anayeulizia ile the voices from within

Kwa vile YEYE hukaa ndani yetu na yeye pia yupo pembeni yake, ukikubali kutenda ya YEYE, yeye hukaa kando na ukitenda ya yeye, YEYE hujitenga na wewe!.

Mara nyingi yeye hupenda kuji disguise kuwa ni YEYE, hivyo ukisikia sauti au ukiota ndoto ya maono, you just can't tell kama ni YEYE au ni yeye, ikiwa ni YEYE, then mhusika atakuwa ameisha ambiwa, akikaidi, ndio kama vile tena!.

Lema alipooteshwa ile ndoto, akaisema, wote tulimpuuza!.
Askofu Kakobe alipo muonya pia sio tuu akampuuza, akachunguzwa uraia!.

Hivyo kipimo cha kuipima voices from within kama ni YEYE au ni yeye, its performancea.

Mfano angali hii ni ya lini na ilikuja kutokea lini Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini... hivyo HII kitu inaweza kuwa kweli.

P
 
  • Nzuri
Reactions: x x

Ahsante sana kwa ufafanuzi
 
Ukiwa nje ndo kiapo kinaisha?
Kuwa nje ndo hufikiki?
Wataomba taarifa za balozini alipokuwa so kuanzia ticket alitoka wapi akaenda wapi na mwisho ticket iliishia wapi.
Mwisho kitendo cha kuwa connected within internet huwezi jificha...
Mtu anasema unachange location kwa vpn unabaki kucheka tu..
Stealthy inawezekana
Nunua vpn vip

The only way kujua alipo ni passport arrivals kwenye hiyo destination
 
Wamteke Polepole?
Congo forest wanakujua? Unadhani hawakujaribu?
Ila kuna watu nawashangaa, Polepole kawaambia ukweli halafu wanakwenda kumteka dada yake kwenye nyumba iliyo na cctv camera. Hawakuishia hapo, walikwenda kumhoji mama mzazi wa Slowslow.
Hivi siku hizi hakuna walimu?
Aise.... eti nchi inaendeshwa kama
Idara ya zima moto 😄

Ova
 
1754106459549.png
 
Uchaguzi haupo, labda reforms zifanyike kwanza
Hahaha Ufipa uwa mnachekesha sana mmeshindwa kuandamana kuonyesha umoja wenu kwa Lissu, mtazui uchaguzi? Kila mmoja anaandika uchaguzi hamna huku kujifucha kwenye Tecno yake.
 
Kwani vyama vingine vya ukombozi barani Afrika viliangukaje?

Ni swala la muda tu kwani hata matendo yenu yanawahukumu.
ccm inafanyaga rejuvination, kila miaka kumi inakuwa mpya. na ilefanikiwa juweka zaid miziz. vyama vya upinzani ikifikia vinashamiri vinafikia peak alafu vinajivuruga na kurudi nyuma alafu vinaanza tena moja
 
Mzee wa Kino kama CCM ilinusurika 2015 ni ngumu sana kwa sasa hivi kuyumbishwa na Polepole. Laingwanan peke yake ndo alituvuruga. Pia hakuna mwanaCCM mjinga anayeweza kukubali CCM ianguke kwa sababu ikitokea itakuwa hatari mno.
Mazingira ya 15 yanakuwa tofauti kabisa na ya sasa wakati huo Edo alikuwa mtu 1 aliekuwa anautaka uraisi na kwa utaratibu wao kama ulimfuatilia slowly anasema kwa ngazi hzo 3 hawawezi kukupa maana hutokea na jibya

Sasa anachikifanya slowly anang'ang'ana na mfumo si kutoka kuongoza Bali kujikosoa kwamba kunasehem wamekosea na wanapaswa kujisahihisha na wala si dhambi.. hofu ya wengi ni kuwa ikiwa itaachwa hivyo bila ufafanuzi kuna kuvuna nguo huko mbeleni..

Ukimsikiliza slowly unapata picha kwamba anausogelea mfumo taratibu ila kwa uhakika.... ukitokea uzembe wa kupuuza au kujib kwa hoja huenda taifa litadumbukia kwenye mwanzo hasi ambayo yatakaa
huyu ni ofisa wa serikali wa ngazi ya mwandamizi amekula kiapo cha kutotoa siri za serikali for life!, akipayuka siri sensitive, anageuka hatari kwa usalama wa Taifa!, hivyo
watamfikia!,unadhani ukimya wa, Aboud Jumbe,Dr。Salmin na Balozi Ali Karume ni wao wenyewe wameamua kukaa kimya?, wamekimyiishwa!,Na wakiona ni ngumu kumkimyiisha,then wanaweza hata
wakamnyamazisha jumla!
P
Mr p
Kuna jambo tofauti kati ya kutoa siri na kusema ukweli na ndyo maana haizungumzii mfumo serikal bal mfumo C E O . Sasa kwenye huo mfumo kunataratibu na kanuni zao moja ya kanuni ni kusema ukweli damia si kutoa siri ieleweke..

Say B
 
At least wamfikie akiwa keshatapika yote! Lakini kwa hali ilivyo hata hao wa kumfikia watatahayari na kuona haya "kumfikia"
 
Polepole, watanzania wameishampuza kabakia na mipasho tu😂

Wanaohangaika naye ni wafuasi wa Chadema.

Polepole hana athari yeyote kwenye siasa za Tanzania hajawahi hata kushinda udiwani.
Hana athari kivipi wakati kile kikundi cha mauaji kili-bugi step mpaka kufikia hatua ya kwenda kumteka dada yake? Hana athari kivipi wakati kila anaposema anazungumza, mitandao anayotumia inazimwa? Mjukuu wa ''ntume'' mbona unataka kutuletea janja janja kama ''ntume''?
 
Mazingira ya 15 yanakuwa tofauti kabisa na ya sasa wakati huo Edo alikuwa mtu 1 aliekuwa anautaka uraisi na kwa utaratibu wao kama ulimfuatilia slowly anasema kwa ngazi hzo 3 hawawezi kukupa maana hutokea na jibya

Sasa anachikifanya slowly anang'ang'ana na mfumo si kutoka kuongoza Bali kujikosoa kwamba kunasehem wamekosea na wanapaswa kujisahihisha na wala si dhambi.. hofu ya wengi ni kuwa ikiwa itaachwa hivyo bila ufafanuzi kuna kuvuna nguo huko mbeleni..

Ukimsikiliza slowly unapata picha kwamba anausogelea mfumo taratibu ila kwa uhakika.... ukitokea uzembe wa kupuuza au kujib kwa hoja huenda taifa litadumbukia kwenye mwanzo hasi ambayo yatakaa

Mr p
Kuna jambo tofauti kati ya kutoa siri na kusema ukweli na ndyo maana haizungumzii mfumo serikal bal mfumo C E O . Sasa kwenye huo mfumo kunataratibu na kanuni zao moja ya kanuni ni kusema ukweli damia si kutoa siri ieleweke..

Say B
You are truly an expert member of JF! Big up!
 
Back
Top Bottom