Polepole: Mkutano ujao nitaongea mambo ambayo hawatapenda kuyasikia

Polepole: Mkutano ujao nitaongea mambo ambayo hawatapenda kuyasikia

Wanajua kabisa kuwa Polepole ni tishio ndiyo maana wanazima mitandao. Hwa wanaopiga filimbi huku mitandaoni ni wa kupuuzwa.
Acheni uongo
Hakuna mtandao ulizimwa, mimi niliangalia bila vpn juzi
Hii stori ya mitandao imezimwa mnaitoa wapi ?
 
Polepole ni mpuuzi tu, anakua kama mwanamke. Anasubiri mambo yake yaende anavyotaka ili asibwabwaje, kama ni kwa maslahi ya taifa aongee bila kutishia tishia na kuongea kama konokono
Huwenda ndiyo asili ya jina lake sasa wewe unachotaka mabadiliko au aongeetu alafu lisifanyiwe kazi
 
Hana athari kivipi wakati kile kikundi cha mauaji kili-bugi step mpaka kufikia hatua ya kwenda kumteka dada yake? Hana athari kivipi wakati kila anaposema anazungumza, mitandao anayotumia inazimwa? Mjukuu wa ''ntume'' mbona unataka kutuletea janja janja kama ''ntume''?
Nikikuuliza wewe Bavicha Polepole yupo wapi hauja jibu, angekuwa na athari angeongea huku kajificha kama Nguchiro😂
 
Nikikuuliza wewe Bavicha Polepole yupo wapi hauja jibu, angekuwa na athari angeongea huku kajificha kama Nguchiro😂
Mtandao imezimwa kwa nini? Walivamia kwa dada yake kwa nini?
 
Hio ni moja ya Kauli ya Humpery Polepole siku ya jana ambapo alidokeza kuwa iwapo hatua hazitachulikwa, atalazimika kuongea mambo ambayo watu hawatapenda kuyasikia.

Pia, Bwana Polepole alisema mpaka jana, alikuwa ameongea asilimia 50 tu ya mambo anayoweza kuongea.

Nachokiona ni kwamba, anayosema yakipuuzwa, basi na yeye anaongea zaidi.

Swali: Ni mambo gani hayo ambayo watu hawatapenda kuyasikia?

Muda utasema.
Afungue na tv station yake kabisa ajipe 24 hours broadcasting

Haiondoi fact kwamba he is irrelevant… hata leo angegombea ubunge popote pale, asingepata
 
huyu ni ofisa wa serikali wa ngazi ya mwandamizi amekula kiapo cha kutotoa siri za serikali for life!, akipayuka siri sensitive, anageuka hatari kwa usalama wa Taifa!, hivyo
watamfikia!,unadhani ukimya wa, Aboud Jumbe,Dr。Salmin na Balozi Ali Karume ni wao wenyewe wameamua kukaa kimya?, wamekimyiishwa!,Na wakiona ni ngumu kumkimyiisha,then wanaweza hata
wakamnyamazisha jumla!
P
Mbona unampangia cha kuongea
 
kwa vyovyote vile mambo yoyote atakayoongea ambayo ni mabaya au mazuri ni kwamba YEYE MWENYEWE AMESHIRIKI KUYAFANYA kwahiyo asitutishe kabisa kam ni hukumu nayeye yumo
Ila chakufahamu ni kuwa binafsi ameamuakujitenga na uovu pamoja na maslahi yanayoambatana nayo.
 
Mambo atakayoongea Polepole ni :-
1. Mstaafu anamchapia bwana Ameir.
2. Mstaafu halipi Kodi ktk biashara zake.
3. Mstaafu ndiye anaongoza genge la wahuni.
4. Mstaafu ndiye aliyepqnga mipango yote ya bwana yule kupendwa zaidi na Allah

Jana Polepole alilisisitiza sana kupigia mstari neno mstaafu.
Ngoja Tusubiri tuone kama kweli Polepole ana Ubavu mbele ya anaowaita Wahuni 😀

Akishindwa kuwakoromea kisawa sawa tutajua naye ni debe tupu tu !
Au nasema uongo ndugu zanguni ??!
 
Ila chakufahamu ni kuwa binafsi ameamuakujitenga na uovu pamoja na maslahi yanayoambatana nayo.
Hapo ni sawa ila yeye pamoja na kujitenga kwake bado hataleta impact yeyote ya kuwafanya wale anaowaita wahuni waache Uhuni wao 😳 !

Labda akiamua kumwaga Ugali na mboga zote 🙄 !

Hapo tutaamini kweli sasa yupo Siriasi 😳🤷🏿‍♂️ !
 
Hapo ni sawa ila yeye pamoja na kujitenga kwake bado hataleta impact yeyote ya kuwafanya wale anaowaita wahuni waache Uhuni wao 😳 !

Labda akiamua kumwaga Ugali na mboga zote 🙄 !

Hapo tutaamini kweli sasa yupo Siriasi 😳🤷🏿‍♂️ !
Uzuri ametoa muda wa tafakuri
 
Back
Top Bottom