Polepole: Mkutano ujao nitaongea mambo ambayo hawatapenda kuyasikia

Polepole: Mkutano ujao nitaongea mambo ambayo hawatapenda kuyasikia

Ndugu polepole inaonekana unafanya mzaha dhidi ya upinzani halisi wa chadema ili ku pay out attention kwenye mambo ya chadema kipindi hiki jadidi. Kama unapasua mbarika pasua tu sio unawasubirisha wananchi wakae mkao wa kukusikiliza halafu nakuja na hoja nyepesi
Kifo cha katto Mkwere aliplay role kubwa sana yeye na mshauri ma chakula msile nyama wala msile nini! Walimuua KATTO ndo maana Polepole anaujua mkanda Mzima
 
Hayupo bongo huyo msidanganyike
Ndio maana nikamwambia kumbe na wewe Comredi Polepole U - muoga kama walivyo wabongo wengi 😳 !

🤣🤣🤣🤣 !

Hii ni sawa na ule usemi usemao mtu anaogopa Kinyago alicho kichonga mwenyewe 😀😀😄😅😂 !

Katiba mpya bora ni muhimu komredi Polepole 😳 !
Au nasema uongo ndugu yangu komredi #Polepole 🤣🤷🏿‍♂️🙏 !
 
Swali ni je, Kwa anayofanya sasa ana mpango wa kurudi TZ tena? Akirudi nini kitatokea? Ni bora apate asylum ahamishie familia huko aishi kwa uhuru na amani.
Kwahiyo na wana Ccm nao waanze kuomba Asylum huko Ughaibuni. ??
😅😅😄 !
Itaonekana ni maajabu !
 
kwa vyovyote vile mambo yoyote atakayoongea ambayo ni mabaya au mazuri ni kwamba YEYE MWENYEWE AMESHIRIKI KUYAFANYA kwahiyo asitutishe kabisa kam ni hukumu nayeye yumo
Anamwaga mboga...
 
Mkuu eksieksi, @xx kwanza nafarijika sana ninapokutana na member hata mmoja tuu anayeulizia ile the voices from within

Kwa vile YEYE hukaa ndani yetu na yeye pia yupo pembeni yake, ukikubali kutenda ya YEYE, yeye hukaa kando na ukitenda ya yeye, YEYE hujitenga na wewe!.

Mara nyingi yeye hupenda kuji disguise kuwa ni YEYE, hivyo ukisikia sauti au ukiota ndoto ya maono, you just can't tell kama ni YEYE au ni yeye, ikiwa ni YEYE, then mhusika atakuwa ameisha ambiwa, akikaidi, ndio kama vile tena!.

Lema alipooteshwa ile ndoto, akaisema, wote tulimpuuza!.
Askofu Kakobe alipo muonya pia sio tuu akampuuza, akachunguzwa uraia!.

Hivyo kipimo cha kuipima voices from within kama ni YEYE au ni yeye, its performancea.

Mfano angali hii ni ya lini na ilikuja kutokea lini Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini... hivyo HII kitu inaweza kuwa kweli.

P
MV5BNTljZDllNDEtODFjZi00Mzc2LWI5ZTItMTAxZjNiNTNlNTM2XkEyXkFqcGc@._V1_.jpg
 
Hio ni moja ya Kauli ya Humpery Polepole siku ya jana ambapo alidokeza kuwa iwapo hatua hazitachulikwa, atalazimika kuongea mambo ambayo watu hawatapenda kuyasikia.

Pia, Bwana Polepole alisema mpaka jana, alikuwa ameongea asilimia 50 tu ya mambo anayoweza kuongea.

Nachokiona ni kwamba, anayosema yakipuuzwa, basi na yeye anaongea zaidi.

Swali: Ni mambo gani hayo ambayo watu hawatapenda kuyasikia?

Muda utasema.
Bado mnamwona Slowslow ni Mkombozi wenu!
Poleni sana
 
huyu ni ofisa wa serikali wa ngazi ya mwandamizi amekula kiapo cha kutotoa siri za serikali for life!, akipayuka siri sensitive, anageuka hatari kwa usalama wa Taifa!, hivyo
watamfikia!,unadhani ukimya wa, Aboud Jumbe,Dr。Salmin na Balozi Ali Karume ni wao wenyewe wameamua kukaa kimya?, wamekimyiishwa!,Na wakiona ni ngumu kumkimyiisha,then wanaweza hata
wakamnyamazisha jumla!
P
Anaongelea mambo ya kawaida ambayo mimi na wewe tunaweza kuongelea, ila kwa kufanya analysis, Polepole hakuwa katika level ya Salmin, Jumbe et al. Hayo unayoyasema ume-base katika perception yako. But alishasema Polepole kuwa kuna mambo ambayo hawezi sema ikiwa ni siri yake na mwajiri wake. Anajua anachofanya na anajua mipaka yake.
 
Back
Top Bottom