Polepole: Mkutano ujao nitaongea mambo ambayo hawatapenda kuyasikia

Polepole: Mkutano ujao nitaongea mambo ambayo hawatapenda kuyasikia

Polepole ni mpuuzi tu, anakua kama mwanamke. Anasubiri mambo yake yaende anavyotaka ili asibwabwaje, kama ni kwa maslahi ya taifa aongee bila kutishia tishia na kuongea kama konokono
Taratibu mkubwa...

HEKIMA si tu kujua kungea bali pia ni kujua wakati sahihi wa kungea, mahali sahihi pa kuongelea, lugha sahihi ya kutumia kuliongea jambo hilo na unaongea na kina nani...

Polepole obvious ana maslahi yake na bado yuko CCM lakini mpaka hapa tulipo tunaweza kumpa benefit of doubt kuwa ingalau ana chembechembe ndogo kiasi fulani "za uzalendo"

Bila shaka anakwenda hatua kwa hatua "akidhani" kuwa, labda hao wenzake ndani ya chama chake wanaweza kuwa na akili na hekima ya kuwafanya waone makosa yao na kujirekebisha....

Lakini all in all, huyu bado ni m-CCM na tabia za wana CCM kila mtu anazijua....

Yeye Polepole anachotaka ni utamaduni wa ulaji wa ki - CCM uwe inclusive na sio kuhodhiwa na kakikundi fulani kadogo tu....

Ndio maana kaacha yote ubalozi na benefits zake ili kusaidiana na wenzake kupambania future yao...
 
Kwa maslahi mapana ya Taifa anapaswa kuweka kila kitu wazi ili watanzani wachague kusuka au kunyoa.

CCM sio watu wakuwabembeleza maana hakuna lugha wasiyoijua, Unapogaka kukabiliana na CCM unapaswa kuwa full throttle mwanzo wa vita maana hao ni wahuni.

ndani ya mitaa ya Kabul-Afghanista.
 
simpangii cha kuongea,namkumbusha mipaka yake
P

mipaka inawezaje kufanya kazi kwenye maslahi mapana ya Taifa, kama jambo linahusu maslahi mapana ya Taifa na wewe kweli ni mzalendo ni mipaka ipi itakuzui?..

Kama watu wanafuja mali za umma, wanavunja Katiba ya nchi, wanaendesha gangs, hawajali maslahi ya wananchi, mifumo imejaa wezi kila mahala, wanaendekeza ujamaa bila kujali upeo na uelewa wa watu bado tunahitaji kulinda mipaka/kiapo katika Hali hii?.

Bwana Pascal kuna kiapo gani muhimu zaidi ya kulinda maslahi ya Taifa pale yanapovurugwa?
Bwana Pascal huoni kama wahuni wanatumia neno kiapo/mipaka na lugha ya kuvuruga amani ili kulinda maslahi yao,?

ndani ya mitaa ya Kabul -Afghanistan.
 
Polepole ni mpuuzi tu, anakua kama mwanamke. Anasubiri mambo yake yaende anavyotaka ili asibwabwaje, kama ni kwa maslahi ya taifa aongee bila kutishia tishia na kuongea kama konokono
Mbona wewe mwenyewe Demu japo baadhi ya mijibaba unawapa na wazee unawanyima
 
Ongeza kupuliza upepo baba ili zote za kuku tuzionee hadharani.
 
huyu ni ofisa wa serikali wa ngazi ya mwandamizi amekula kiapo cha kutotoa siri za serikali for life!, akipayuka siri sensitive, anageuka hatari kwa usalama wa Taifa!, hivyo
watamfikia!,unadhani ukimya wa, Aboud Jumbe,Dr。Salmin na Balozi Ali Karume ni wao wenyewe wameamua kukaa kimya?, wamekimyiishwa!,Na wakiona ni ngumu kumkimyiisha,then wanaweza hata
wakamnyamazisha jumla!
P
Hadi sasa Pole Pole ni Mtu aliyepo hatarini Sana. Angechagua kukaa kimya basi barua yake haikupaswa kuwa hivyo. Sasa amekwisha chokoza nyigu, lazima wamung'ate. Anachaguo moja Tu nalo ni kutubu kabla nyigu hawajamng'ata. Ili ananyamaze kimya akiwa ametua mzigo mzito alionao.
 
Binafsi nilimsikiliza polepole live mitandaoni, nadhani haikuzimwa kote.
Haikuzimwa bali walizuia access baadhi ya mitandao nadhani facebook na youtube.

Binafsi nilianza kuangalia tangu anaanza na hiyo kuzuia access za hiyo mitandao ilikuja baadae wakati alikua ameshaanza muda tu.

Kama mtu alishaanza kuangalia mapema na hajarefresh page usingeweza kupata shida yoyote, nakumbukuka stream ya awali ilikua ikiendelea hata baada ya wenye mamlaka yao kuzuia, niliconfirm hili kwa kufungua browser ingine na kutumia link ile ile ila ilikua imeshazuiwa access Facebook muda huo, ilhali ile ya mwanzo iliendelea bila shida.
 
Ooh, Inawezekana.
 
mipaka inawezaje kufanya kazi kwenye maslahi mapana ya Taifa, kama jambo linahusu maslahi mapana ya Taifa na wewe kweli ni mzalendo ni mipaka ipi itakuzui?..

Bwana Pascal kuna kiapo gani muhimu zaidi ya kulinda maslahi ya Taifa pale yanapovurugwa?
Bwana Pascal huoni kama wahuni wanatumia neno kiapo/mipaka na lugha ya kuvuruga amani ili kulinda maslahi yao,?

ndani ya mitaa ya Kabul -Afghanistan.
Ukiwa afisa wa Serikali ngazi ya mwandamizi, unakuwa na access na confidential, secret na top secret ambazo anazipata as privileged info, kiapo cha kazi hakiruhusu.

Nahisi anachotaka kufanya ni kuusema ule ukweli wa 17th March, 2021. What for?

P
 
Ndiyo akiongea wanazima mitandao 😄

ova
Hana madhara na ndio mana wenye chama chao wanaendelea ni michakato yao huku yeye akiendelea kubwatabwata kukufurahisheni nyie mashabiki wake
 
Hadi sasa Pole Pole ni Mtu aliyepo hatarini Sana. Angechagua kukaa kimya basi barua yake haikupaswa kuwa hivyo. Sasa amekwisha chokoza nyigu, lazima wamung'ate. Anachaguo moja Tu nalo ni kutubu kabla nyigu hawajamng'ata. Ili ananyamaze kimya akiwa ametua mzigo mzito alionao.
Polepole anapigania nchi, na hivyo anapigania kesho ya watoto wako na wajukuu zako.
 
Poleni nyie mnaozima mitandao.
Wanazima mitandao but mwisho wa siku waotafikia malengo yao wakati huo mtakuwa mnaendelea kutafuta leo Slowslow kasema nini huku wenzenu wanakamilisha michakato yao ambayo Slowslow hana ubavu wa kuizuoa zaidi ya kuendelea kubwata tu kuiufurahisheni nyie mashabiki wake.
 
Back
Top Bottom