Polepole na uzalendo mpya! Ana uchungu na katiba ya CCM kuliko ya nchi?

Phonex Mpya

Senior Member
Joined
Jun 21, 2025
Posts
128
Reaction score
39
NDUGU POLEPOLE NA UZALENDO MPYA! ANA UCHUNGU NA KATIBA YA CCM KULIKO YA NCHI.

Sote tunajua Uzalendo maana yake ni mapenzi ya mtu kwa nchi yake.

Lakini Balozi Polepole amekuja na tafsiri nyingine tofauti ,

Polepole amekuwepo nyakati zote Katiba ya nchi ikivunjwa tena Kwa ushabiki mkubwa.

Lakini leo Katiba ya chama kukiukwa tena kwa kasoro ambazo Mkongwe mzee Butiku katika kipindi cha dk45 anasema ni ndogo,

Eti Polepole ndio anakomaa mpaka anajiuzulu ubalozi,

Haya mapenzi ya Polepole kwa CCM kuliko nchi ndio uzalendo mpya?
Angalia hapa Jenerali Ulimwengu alivyomnyoosha.

..Jenerali kam-,challenge kwamba anataka kupeleka "no reforms no election" ndani ya Ccm Polepole akabaki anajiumauma.
 
Ukizoea ubaya na dhambi, lazima mtaanza kufanyiana wenyewe tu.
CCM wameasisis mambo ya dhuluma, wizi, kuumiza watu, rushwa, kupoteza watu.Walifikiri wakiwafanyia wenzao wao watakua safe.Kinachotokea sasa hivi ni mwanzo, kinachofuata ni kuanza kupotezana wenyewe kwa wenyewe na kuumizana physically
 
IMG_1926.jpeg
 
NDUGU POLEPOLE NA UZALENDO MPYA! ANA UCHUNGU NA KATIBA YA CCM KULIKO YA NCHI.

Sote tunajua Uzalendo maana yake ni mapenzi ya mtu kwa nchi yake.

Lakini Balozi Polepole amekuja na tafsiri nyingine tofauti ,

Polepole amekuwepo nyakati zote Katiba ya nchi ikivunjwa tena Kwa ushabiki mkubwa.

Lakini leo Katiba ya chama kukiukwa tena kwa kasoro ambazo Mkongwe mzee Butiku katika kipindi cha dk45 anasema ni ndogo,

Eti Polepole ndio anakomaa mpaka anajiuzulu ubalozi,

Haya mapenzi ya Polepole kwa CCM kuliko nchi ndio uzalendo mpya?
Angalia hapa Jenerali Ulimwengu alivyomnyoosha.

View attachment 3417225
Anaulizwa who analeta maelezo
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😄😄😅😅😂😂
Hapo ndipo alipotofautiana na Nyerere anayejaribu jaribu kumuiga iga ili afananishwe naye !

Ngoja Tusubiri tuone hii movie 🎥 itaishiaje 🎭 ⁉️

Uzalendo mpya 🤣🤣🤣🤣🤣 !
Chama ni bora kuliko Nchi 😳 ! Duh 🙄!
 
NDUGU POLEPOLE NA UZALENDO MPYA! ANA UCHUNGU NA KATIBA YA CCM KULIKO YA NCHI.

Sote tunajua Uzalendo maana yake ni mapenzi ya mtu kwa nchi yake.

Lakini Balozi Polepole amekuja na tafsiri nyingine tofauti ,

Polepole amekuwepo nyakati zote Katiba ya nchi ikivunjwa tena Kwa ushabiki mkubwa.

Lakini leo Katiba ya chama kukiukwa tena kwa kasoro ambazo Mkongwe mzee Butiku katika kipindi cha dk45 anasema ni ndogo,

Eti Polepole ndio anakomaa mpaka anajiuzulu ubalozi,

Haya mapenzi ya Polepole kwa CCM kuliko nchi ndio uzalendo mpya?
Angalia hapa Jenerali Ulimwengu alivyomnyoosha.

View attachment 3417225
HAPA JIPYA POLEPOLE
 
Mzalendo wa kweli ni reforms basi tusijifikilie sisi tu
 
NDUGU POLEPOLE NA UZALENDO MPYA! ANA UCHUNGU NA KATIBA YA CCM KULIKO YA NCHI.

Sote tunajua Uzalendo maana yake ni mapenzi ya mtu kwa nchi yake.

Lakini Balozi Polepole amekuja na tafsiri nyingine tofauti ,

Polepole amekuwepo nyakati zote Katiba ya nchi ikivunjwa tena Kwa ushabiki mkubwa.

Lakini leo Katiba ya chama kukiukwa tena kwa kasoro ambazo Mkongwe mzee Butiku katika kipindi cha dk45 anasema ni ndogo,

Eti Polepole ndio anakomaa mpaka anajiuzulu ubalozi,

Haya mapenzi ya Polepole kwa CCM kuliko nchi ndio uzalendo mpya?
Angalia hapa Jenerali Ulimwengu alivyomnyoosha.

View attachment 3417225
NI BALAA
 
Katiba ya nchi inahusu serikali na yeye amesema hatazungumzia mambo yanayohusu serikali kwa kuwa kuna miiko yake. Lakini katiba ya chama cha siasa anaweza kuizungumzia
 
Back
Top Bottom