Polepole: Naishi kwa kificho, wananitafuta sana. Kwahiyo mimi kuongea ndio mnitafute?

Nadhani muda wa maongezi umekwisha.

Yeye kapendekeza majadiliano ya kutafuta njia za kututoa hapa kwenda mbele; lakini sioni Samia na Genge lake wakiwa tayari kusimamisha juhudi zao la kulihujumu taifa hili kwa hiari yao wenyewe kushiriki kwenye mazungumzo.

Mazungumzo ya aina yoyote hayawaletei faida yoyote kwa wakati huu.

Ikiwa bado wanashikilia mitutu ya bunduki, sioni njia rahisi ya kuwapeleka kwenye majadiliano ya aina yoyote ile.
 
Shida iliyopo ni moja tu. Watanzania tulio wengi ni waoga kuzidi makunguru! Halafu ni wanafiki kupitiliza. Kwa hiyo uwezo wa kukinukisha hatuna. Na ikitokea tukajaribu, basi tujiandae kuuwawa au kujeruhiwa vibaya na policcm
 
  • Thanks
Reactions: Lax

Kidogo nitakuwa na maoni tofauti kidogo.
Safari hii kuna mwanya wa kutosha ambao hatujawahi kuupata kwa muda mrefu sana.

Mambo mengi ya hovyo yamekuwa wazi mno, hata kwa wale wenzetu ambao mara nyingi hawastushwi na uchafu wa kawaida waufanyao CCM.

Huko ndani ya chama chenyewe, ni vigumu sana sasa hivi kuitambua ni CCM ipi hasa inayofanya yote haya. Ni wazi wana CCM wenyewe wamechanganyikiwa.

Na kumbuka, mageuzi ndani ya nchi huwa hayatokei kwa wananchi wengi (wote) kushiriki kwenye mageuzi hayo; naamini safari hii kuna kiasi kikubwa cha waTanzania walio tayari kushiriki kwenye mageuzi haya. Kinachotakiwa tu ni uongozi wa kuyaongoza kwa ufanisi.

Hii mitutu ya akina Jumanne Mulilo na yenyewe inasubiri kuona hali inavyo geuka. Hawana uthubutu wa kuua waTanzania walio dhamiria kuondoa uchafu ndani ya nchi yao.
 
Shida iliyopo ni moja tu. Watanzania tulio wengi ni waoga kuzidi makunguru! Halafu ni wanafiki kupitiliza. Kwa hiyo uwezo wa kukinukisha hatuna. Na ikitokea tukajaribu, basi tujiandae kuuwawa au kujeruhiwa vibaya na policcm
Naam mkuu, hilo ndo linafanya mabadiliko yachelewe --- kwa sasa muds muafa bado. 2030 inaweza kua nyakati bora sana
 
Back
Top Bottom