Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Humphrey Polepole amesema JamiiForums walianza kukusanya kero za wananchi kidigitali, na hapa kweli nawashukuru wananchi na JamiiForums kwa kuwa msaada kwa serikali katika kutatua changamoto kidigitali. Ambapo mbali na kuishukuru kaichana serikali kutoshughulikia kero zinazokuwa zimeibuliwa na Wananchi.