Polepole Nakupa Onyo

Polepole Nakupa Onyo

Bora Polepole anauwezo wa ku-cross the floor na kaanza toka enzi za mchakato wa katiba mpya.

Nyie UV mnapelekwa tu na uelekeo wa mkondo wa maji kama samaki wafu kisa huto tuvyeo maandazi.
 
Unafiki kuwa uko na Rais halafu unasema Rais amezungukwa na wahuni. Hatukusikia Sabaya na Makonda ambao ni wahuni haswaaa ukitoa kauli. Unazarau mamlaka ya Rais au nini. unataka kumpangia Rais achague nani na nani amuache.

Unataka kumpangia Rais afanye nini na nini asifanye Tatizi unaona kwa vile ulikua mwenezi basi Samia hawezi kukufanya kitu.

Uhuni wenu wa kuua na kuteka mnataja na sisi tuufanye au sio.

Hivi unaona unayohaki ya kuongea lolote kutoka kichwani kwako. Sasa nakukumbusha CCM na serikali haijashindwa kukunyoosha ukanyooka.

Endelea kufanya ziara za media kuponda kazi zinazifanywa na Rais Samia hakika utapata unacho kitaka.

Endelea kudhani kuwa unao ukubwa ulionao. Nakupa Onyo wewe na wanao kutuma.

#KAZI IENDELEE
Namshangaa sana bwana polepole.
Ni kama mpumbavu hivi. Vile anaiga sauti ya mwalimu nyerere.
Hahahha
 
Acha upuuzi unamtisha Nani ikulu imekuwa ya Walanguzi
Unajua kwamba mtu anyeitwa John Joseph magufuli pombe alinunua magorofa mawili dodoma kwa tsh laki sita kila moja na maghorofa hayo yakimilikiwa na NIc???
 
Unafiki kuwa uko na Rais halafu unasema Rais amezungukwa na wahuni. Hatukusikia Sabaya na Makonda ambao ni wahuni haswaaa ukitoa kauli. Unazarau mamlaka ya Rais au nini. unataka kumpangia Rais achague nani na nani amuache.

Unataka kumpangia Rais afanye nini na nini asifanye Tatizi unaona kwa vile ulikua mwenezi basi Samia hawezi kukufanya kitu.

Uhuni wenu wa kuua na kuteka mnataja na sisi tuufanye au sio.

Hivi unaona unayohaki ya kuongea lolote kutoka kichwani kwako. Sasa nakukumbusha CCM na serikali haijashindwa kukunyoosha ukanyooka.

Endelea kufanya ziara za media kuponda kazi zinazifanywa na Rais Samia hakika utapata unacho kitaka.

Endelea kudhani kuwa unao ukubwa ulionao. Nakupa Onyo wewe na wanao kutuma.

#KAZI IENDELEE
Acha ujinga jenga hoja zakuonyesha anapokosea sio kutoa toa vitisho vya kipumbavu hii dunia wote tunapitatu, idiot!.
 
Duh,
Chakubanga kubali yaishe mzee baba utaamsha wasiojulikana.
Hivi hukuachiwa VIEITE hata ya kufutia machozi!!!???
 
Unafiki kuwa uko na Rais halafu unasema Rais amezungukwa na wahuni. Hatukusikia Sabaya na Makonda ambao ni wahuni haswaaa ukitoa kauli. Unazarau mamlaka ya Rais au nini. unataka kumpangia Rais achague nani na nani amuache.

Unataka kumpangia Rais afanye nini na nini asifanye Tatizi unaona kwa vile ulikua mwenezi basi Samia hawezi kukufanya kitu.

Uhuni wenu wa kuua na kuteka mnataja na sisi tuufanye au sio.

Hivi unaona unayohaki ya kuongea lolote kutoka kichwani kwako. Sasa nakukumbusha CCM na serikali haijashindwa kukunyoosha ukanyooka.

Endelea kufanya ziara za media kuponda kazi zinazifanywa na Rais Samia hakika utapata unacho kitaka.

Endelea kudhani kuwa unao ukubwa ulionao. Nakupa Onyo wewe na wanao kutuma.

#KAZI IENDELEE
Endelea kudhani kuwa unao ukubwa ulionao. Nakupa Onyo wewe na wanao kutuma.[emoji15]
 
Hata tozo akisimama na slow slow kwenye uchaguzi anapigwa kama amesimama. Ndiyo maana wanamfanyia visa.
Afu kwelie! Kawa mjanja amegundua kuwa kipindi cha miaka 5 iliyopita kuna watu kawaboa sasa anatumia mbinu ya rejection kuwavutia sana watu.

Amewakosha sana aliposema swala la Katiba mpya halina mjadala! Hapo ndo kaupiga mwingi!
 
Polepole anasema Samia alikuwepo awamu ya 5. Ukweli ni kwamba Samia hakuwepo 🤣🤣🤣🤣
 
Genge la wahuni, genge la JK mnajamb.ajamb.a balaa....

Hoja ijibiwe kwa Hoja sio vitisho
 
Mtavuna mlichopanda ! Kwa hakika October 28 mwaka jana ndio watu waliumizwa kwa kiasi kikubwa na awamu ile sasa mlipoambiwa hamkusikia sasa pateni mavuno yenu!

Kwani Polepole hakuwaona wahuni aliokua akikaa nao mezani enzi zile huku wakipewa kila kitu kufanikisha uhuni wao?

Karma is real!
 
Back
Top Bottom