Sitaki nikuinfluence, toa maoni yako.
ni miongoni mwa harambee za kizalendo bora zaidi zilizowahi kufanyika na kufanikiwa kwa kiwango cha juu sana Tanzania na Africa mashariki kwa ujumla.
ni wazi CCM ni nguvu ya umma kiuchumi, kisiasa na kijamii. Na kila mTanzania ni CCM.
ndani ya masaa tu blioni86?🐒
Nakubaliana na wewe mkuu.Tukio lile halikuwa Harambee, bali lilikuwa ni STATE CAPTURE Process.
Ulikuwa ni Mchakato wa Kuuza na Kuisalimisha Nchi pamoja na Sovereignty yake mikononi mwa Walanguzi.
Mwl. Nyerere aliwahi kusema kwamba "Ikulu ni mahali patakatifu....."
Je, kwa Sasa hivi Ikulu bado ni mahali patakatifu kama alivyosema Mwl. Nyerere????
Alishaelezea hiliSitaki nikuinfluence, toa maoni yako.