Polepole naomba maoni yako kuhusu uchangiaji wa kampeni CCM

ni miongoni mwa harambee za kizalendo bora zaidi zilizowahi kufanyika na kufanikiwa kwa kiwango cha juu sana Tanzania na Africa mashariki kwa ujumla.

ni wazi CCM ni nguvu ya umma kiuchumi, kisiasa na kijamii. Na kila mTanzania ni CCM.

ndani ya masaa tu blioni86?🐒
 

Attachments

  • IMG-20250813-WA0003.jpg
    61.4 KB · Views: 33
Sitaki nikuinfluence, toa maoni yako.


Tukio lile halikuwa Harambee, bali lilikuwa ni STATE CAPTURE Process.
Ulikuwa ni Mchakato wa Kuuza na Kuisalimisha Nchi pamoja na Sovereignty yake mikononi mwa Walanguzi.
Mwl. Nyerere aliwahi kusema kwamba "Ikulu ni mahali patakatifu....."

Je, kwa Sasa hivi Ikulu bado ni mahali patakatifu kama alivyosema Mwl. Nyerere????
 
Nakubaliana na wewe mkuu.

Na wajidhihirisha ni chama cha wenye pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…