Polepole ni mfano: Bila mifumo bora hakuna aliye salama zaidi ya familia 3 za Kikwete, Mwinyi na Samia kwasasa. Pamoja na mkubwa wao Rostam Aziz
Piganianieni mifumo bora hakuna anayejua kesho yake. Polepole alikuwa anaringishia watu magari leo yeye ni mtekwaji!!!.
Alikuwa ana fungia macho utekaji wakati ule sasa ni yeye walewale wanamfungia macho. Mifumo imara ni bora sana kwa taifa. Yaani walewale ambao alikuwa nao kwenye mikutano ndiyo wanafumbia macho yeye kutekwa na hata kuuliwa kwasababu tu ya siasa! Hawa ni watu ambao walikuwa wanapigiana simu yaani waziri mkuu na Raisi walikuwa na simu ya polepole yeo ni kama gaidi tena anatafutwa kinyume na sheria