Samia The Killer anamshangaza hata Ibilisi.Polepole ni mfano: Bila mifumo bora hakuna aliye salama zaidi ya familia 3 za Kikwete, Mwinyi na Samia kwasasa. Pamoja na mkubwa wao Rostam Aziz
Piganianieni mifumo bora hakuna anayejua kesho yake. Polepole alikuwa anaringishia watu magari leo yeye ni mtekwaji!!!.
Alikuwa ama fungia macho utekaji yeye. Mifumo imara ni bora sana kwa taifa
Uko sahihi. Hata hawa waliopo sasa hivi, kina Samia, unaweza kuwasikia wakilia kutekwa siku chache zijazo.Polepole ni mfano: Bila mifumo bora hakuna aliye salama zaidi ya familia 3 za Kikwete, Mwinyi na Samia kwasasa. Pamoja na mkubwa wao Rostam Aziz
Piganianieni mifumo bora hakuna anayejua kesho yake. Polepole alikuwa anaringishia watu magari leo yeye ni mtekwaji!!!.
Alikuwa ama fungia macho utekaji yeye. Mifumo imara ni bora sana kwa taifa
Nimetoka kumwambia mtu kitu kama hiki sasa hivi 😳Uko sahihi. Hata hawa waliopo sasa hivi, kina Samia, unaweza kuwasikia wakilia kutekwa siku chache zijazo.
Na hawataki hii katiba ifanyiwe marekebisho, watajimix atatokea Magu mwingine nao watakipitia kipindi kigumu..!CDM miaka na miaka wanahubiri hilo,
Tutajifunza kwa njia ngumu sana.
Katiba ina mruhusu Rais kuwa chochote, Amekuwa chochote na zaidi.
We are cooked!
Mwana kulitafuta , mwana kulipata! Hata Yesu kulingana na Imani ya wakristo alisulubiwa peke yake!Polepole ni mfano: Bila mifumo bora hakuna aliye salama zaidi ya familia 3 za Kikwete, Mwinyi na Samia kwasasa. Pamoja na mkubwa wao Rostam Aziz
Piganianieni mifumo bora hakuna anayejua kesho yake. Polepole alikuwa anaringishia watu magari leo yeye ni mtekwaji!!!.
Alikuwa ana fungia macho utekaji wakati ule sasa ni yeye walewale wanamfungia macho. Mifumo imara ni bora sana kwa taifa. Yaani walewale ambao alikuwa nao kwenye mikutano ndiyo wanafumbia macho yeye kutekwa na hata kuuliwa kwasababu tu ya siasa! Hawa ni watu ambao walikuwa wanapigiana simu yaani waziri mkuu na Raisi walikuwa na simu ya polepole yeo ni kama gaidi tena anatafutwa kinyume na sheria
Point kubwa sana, baada ya haya matukio kushamiri muda mrefu na yakawa labelled kama wakosoaji ni upinzani sasa leo limeangukia kwa mwanaccm ambaye alifika hadhi ya kuingia vikao vya kamati kuu na hata kuwa balozi.CDM miaka na miaka wanahubiri hilo,
Tutajifunza kwa njia ngumu sana.
Katiba ina mruhusu Rais kuwa chochote, Amekuwa chochote na zaidi.
We are cooked!
Polepole ni mfano: Bila mifumo bora hakuna aliye salama zaidi ya familia 3 za Kikwete, Mwinyi na Samia kwasasa. Pamoja na mkubwa wao Rostam Aziz