Polepole ni mhuni kama wahuni anaowatuhumu uhuni au tunafanyiwa machezo?

Polepole ni mhuni kama wahuni anaowatuhumu uhuni au tunafanyiwa machezo?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
1756074154689.png

Katika kutaka kujijengea umaarufu nchini, Humphrey Polepole alikuja na dhana ya wahuni. Japo alijitahidi kuifafanua dhana husika, hakufanikiwa.

Kinachogomba ni ukweli kuwa wengi wa 'wahuni' anaojitahidi kuwaanika mbele ya umma ni wale wale aliokuwa nao kabla ya kuona kitumbua chake kikiingia mchanga. Ukiona majina ya 'wahuni' kama Rostam Aziz, Jakaya Kikwete, na wengine, unashangaa.

Je, Polepole ni mhuni aliyegeukwa na wahuni wenzie ambao sasa anawageuka? Je, anatetea taifa au kulipiza kisasi baada ya 'wahuni; wenzake kumgeuka? Je, anatatea taifa? Je anapinga na kupigana na maovu? Mbona sasa na si jana wala juzi?

Je, Polepole ni mtu wa kuaminika? Je, yuko tayari kutubu madhambi aliyotenda alipokuwa na wahuni na kuomba msamaha ndipo awakabili hao 'wahuni'? Je, atafua dafu au kutokomea kama wengine waliomtangulia? Je, ni mwanzo wa mwisho wa Polepole na genge lake?

Najitahidi kuwaza na kutafakari kimya kimya.
 
Mkuu unaona wivu mtu mbaya akitubu na kufuata njia sahihi?

Awe amegeuka kiuzalendo au kwa kusudi tu la kuwatokomeza wahuni kama kisasi inaleta tofauti gani?

Kwa nini asipongezwe kwa hatua hiyo?

Unahisi ni ulaghai, kwamba anataka madaraka tu?
 
View attachment 3451954

Katika kutaka kujijengea umaarufu nchini, Humphrey Polepole alikuja na dhana ya wahuni. Japo alijitahidi kuifafanua dhana husika, hakufanikiwa. Kinachogomba ni ukweli kuwa wengi wa 'wahuni' anaojitahidi kuwaanika mbele ya umma ni wale wale aliokuwa nao kabla ya kuona kitumbua chake kikiingia mchanga. Ukiona majina ya 'wahuni' kama Rostam Aziz, Jakaya Kikwete, na wengine, unashangaa. Je, Polepole ni mhuni aliyegeukwa na wahuni wenzie ambao sasa anawageuka? Je, anatetea taifa au kulipiza kisasi baada ya 'wahuni; wenzake kumgeuka? Je, anatatea taifa? Je anapinga na kupigana na maovu? Mbona sasa na si jana wala juzi? Je, Polepole ni mtu wa kuaminika? Je, yuko tayari kutubu madhambi aliyotenda alipokuwa na wahuni na kuomba msamaha ndipo awakabili hao 'wahuni'? Je, atafua dafu au kutokomea kama wengine waliomtangulia? Je, ni mwanzo wa mwisho wa Polepole na genge lake?​

Najitahidi kuwaza na kutafakari kimya kimya.​

Anayosema ni kweli au si kweli? Japo simuumgi mkono maana alikuwa upande wa Jiwe lakini anayosema muhimu
 
View attachment 3451954

Katika kutaka kujijengea umaarufu nchini, Humphrey Polepole alikuja na dhana ya wahuni. Japo alijitahidi kuifafanua dhana husika, hakufanikiwa. Kinachogomba ni ukweli kuwa wengi wa 'wahuni' anaojitahidi kuwaanika mbele ya umma ni wale wale aliokuwa nao kabla ya kuona kitumbua chake kikiingia mchanga. Ukiona majina ya 'wahuni' kama Rostam Aziz, Jakaya Kikwete, na wengine, unashangaa. Je, Polepole ni mhuni aliyegeukwa na wahuni wenzie ambao sasa anawageuka? Je, anatetea taifa au kulipiza kisasi baada ya 'wahuni; wenzake kumgeuka? Je, anatatea taifa? Je anapinga na kupigana na maovu? Mbona sasa na si jana wala juzi? Je, Polepole ni mtu wa kuaminika? Je, yuko tayari kutubu madhambi aliyotenda alipokuwa na wahuni na kuomba msamaha ndipo awakabili hao 'wahuni'? Je, atafua dafu au kutokomea kama wengine waliomtangulia? Je, ni mwanzo wa mwisho wa Polepole na genge lake?​

Najitahidi kuwaza na kutafakari kimya kimya.​

Awe mhuni au la, suala ni je, anayosema sasa ni ya kweli au si ya kweli?
 
Back
Top Bottom