Polepole ni mhuni na mwenye wivu sana,apuuzwe

Polepole ni mhuni na mwenye wivu sana,apuuzwe

Huyu jamaa anajiona yeye ni genius sana.

Ana chuki za waziwazi na Rais Samia, anaona wivu Rais Samia kuwa Madarakani.
Nashauri apuuzwe kwa nguvu zote.
Tunamjua ni mpuuzi maana alishiriki ukatili wakati wa Magufuli. Lakini kasema ukweli. Hatupuuzi ukweli aliosema.
 
Ushawishi wako ni zero
Utamupuuziaje mtu aliyejitokeza kusema maovu na makosa yanayofanyika
Kaacha kaz ya Ubalozi ili awe huru kusema ukweli
Kwa ajili ya Maendeleo ya Nchi
 
Huyu jamaa anajiona yeye ni genius sana.

Ana chuki za waziwazi na Rais Samia, anaona wivu Rais Samia kuwa Madarakani.
Nashauri apuuzwe kwa nguvu zote.
Tukusikilize wewe usiyepitia mchakato wa uchaguzi kwa kuchukua fomu ya kugombea??
 
Ukitaka kumpinga Polepole uwe na hoja nzito. Polepole anaongea polepole kwa kutumia mantiki.
 
Huyu jamaa anajiona yeye ni genius sana.

Ana chuki za waziwazi na Rais Samia, anaona wivu Rais Samia kuwa Madarakani.
Nashauri apuuzwe kwa nguvu zote.
Ndo chama na serikali kimekutuma umjibu polepole hivi? Huko ccm kuna wajinga wengi sana hii ni kutokana na UCHAWA na kulamba asali.
Mtu anazungumza masaa mawiili wewe unamjibu kwa mipasho?
Ngoja tungoje wabubujikwao na machozi bado wanalia sijui???
 
Huyu jamaa anajiona yeye ni genius sana.

Ana chuki za waziwazi na Rais Samia, anaona wivu Rais Samia kuwa Madarakani.
Nashauri apuuzwe kwa nguvu zote.
polepole amekuzidi wewe na ukoo wako wote akili, maarifa, kila kitu. hilo hata wewe mwenyewe unalijua. alichokifanya au alichoongea au hata kazi alizofanya wewe huna uwezo kufanya hata moja.
 
Mhuni kutoka Cuba anawanyoosha wahuni wadogo wadogo wa kiswahili swahili eeeh!

Safari hii hamchomoki, mhuni mkuu kaamua kumwaga ugali wenu.
 
Huyu jamaa anajiona yeye ni genius sana.

Ana chuki za waziwazi na Rais Samia, anaona wivu Rais Samia kuwa Madarakani.
Nashauri apuuzwe kwa nguvu zote.
Na mtakuwa mmef¥ra dada yake kenge nyie
 
Huyu jamaa anajiona yeye ni genius sana.

Ana chuki za waziwazi na Rais Samia, anaona wivu Rais Samia kuwa Madarakani.
Nashauri apuuzwe kwa nguvu zote.

Jibu hoja zake

1. Mgombea wa Urais ccm amechukua form?

2. Why mkutano mkuu wa kumuodhinisha makamu mwenyekiti uwe mkutano wa kumpitisha mgombea urais?

3 form ya wadhamini kutoka bara na Zanzibar imerudishwa ?

4. Why msajiri wa vyama vya siasa achaichukulia hatua ccm kwa kwenda kinyume na katiba
 
Nchi ya Tanzania tumewakabizi mashangingi na waimba mipasho TU.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Huyu jamaa anajiona yeye ni genius sana.

Ana chuki za waziwazi na Rais Samia, anaona wivu Rais Samia kuwa Madarakani.
Nashauri apuuzwe kwa nguvu zote.
Ingepebdeza kama hoja za mhuni mkazijibu kwa hoja!
 
Back
Top Bottom