Polepole ni zao la chuo cha Mwalimu Nyerere ambacho watu mmekuwa mkikichukulia poa , ila hiki chuo kimezalisha watu smart sana.!

Polepole ni zao la chuo cha Mwalimu Nyerere ambacho watu mmekuwa mkikichukulia poa , ila hiki chuo kimezalisha watu smart sana.!

Hapa mwalimu Nyerere tumewazalisha wengi tu na baadhi yao nawaona humu wakiwemo vijana wenye nguvu ya kimwili na kiakili kwa mfano Monetary doctor na wengineo.
Nitake radhi sijasoma mwalimu Nyerere mimi 😂

Anasomea mwanangu Poor Brain hapo anapiga ualimu na Busu la Kenge

Mimi ni mtoto wa mjini kati aseeh
 
Na yeye ni walewale .... Kipindi cha magufuli amefanya utopolo mwingi tu.... Afrika kila anayepata nafasi fulani anakuwa tahira na anasahau utu.
Polepole angekuwa ndaninya mfumo haya yote yasingekuwepo.... Hatukumbuki ya Nape vs jpm?, Makamba vs jpm?.
 
Mkuu si nilikuwa muhadhiri wako kabisa hapa mwalimu Nyerere university.

Nilijua tu utaikana mwalimu Nyerere university mara tatu kabla kenge hajapiga busu.
Mimi huyu au hpn aseeh 😂

Mwalimu Nyerere nimekuja ijulia dar
 
MTU Kama Polepole , Mwanadiplomasia na mwenye uthubutu anatoka katika Chuo bora cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy.
Kwani nyie kipindi cha Bedui Magu hamkuwepo hadi leo munamuona Polipoli malaika!?
 
Na yeye ni walewale .... Kipindi cha magufuli amefanya utopolo mwingi tu.... Afrika kila anayepata nafasi fulani anakuwa tahira na anasahau utu.
Polepole angekuwa ndaninya mfumo haya yote yasingekuwepo.... Hatukumbuki ya Nape vs jpm?, Makamba vs jpm?.
Alikuwa anakuwa kisiasa
 
Back
Top Bottom