Polepole: Nilivyosema vya CCM hivyo ni vidogo, nilikuwa ni mwage hadharani mambo yanahujumu maslai ya taifa letu

Polepole: Nilivyosema vya CCM hivyo ni vidogo, nilikuwa ni mwage hadharani mambo yanahujumu maslai ya taifa letu

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Samahani kwa taarifa ya ghafla tukutane kutoka muda si mrefu mpaka saa 6:00 usiku leo. Tuzungumze kidogo mustakabali wa Taifa letu. Mungu wa Mbinguni Aliyehai Awabariki !
===================Updates..........
Polepole: Wale wote mliojitoa kuipigani Tanzania tuwe makini sana, muiandaji yupo huko nje anawatafuta awadhuru na wasaii sana, Ni magengeni ya kihuni, ya kiuhalifu na yanahusiano na vyombo vyetu kwa nafasi fulani wapo baadhi ya watu wamekosa uaminifu

Mama wewe pumzika hautakiwi kugombe, lakini naona umeshupaza shingo, nasema kama kijana wako sina tofauti na Dula usitake mama Mungu akasirika juu yako kwa sababu watu wengi wanalia, wape CCM haki yao.

View: https://www.youtube.com/live/bjjvXnN7nYA


photo_2025-08-26_22-40-36.jpg

 
CCM wanalinda komwemo wanasahau matako .Hii nyimbo toka kwa Roma na inaitwa abdul alafu unatoa pesa ATM inaishukuru ATM.

ccM vilaza
 
Back
Top Bottom