Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Muangalie Mkata swichiKwa heri usingizi leo
Matamko, +matamko mwisho yanakuwa matakoSamahani kwa taarifa ya ghafla tukutane kutoka muda si mrefu mpaka saa 6:00 usiku leo. Tuzungumze kidogo mustakabali wa Taifa letu. Mungu wa Mbinguni Aliyehai Awabariki !
View attachment 3454258
Kwahiyo mmeingia kwenye huu mtego?Ukitema Nchale Ukimung'unya Nchale
Kanyonyeshe hii ngoma utanyweshewa na mvua ya MAWE MatimbuHahahahahaa!
Ahsante Mungu wangu kwa kutonifanya kuwa nyumbu. Yaani ningekuwa kama hawa yaani?!!!! Kuchezewa akili na haka kanjiti kalikobemendwa. Hapana.
Kila kitu kikifanywa kila siku mwosho huonekana ni kawaida. Kwanza wamesha poteza mvuto.Matamko, +matamko mwisho yanakuwa matako
We fala Mbowe wako msaliti yuko wPi now?Ukitema Nchale Ukimung'unya Nchale
Hakuna kulala. Britanicca naye tarehe 28 hatupoiSamahani kwa taarifa ya ghafla tukutane kutoka muda si mrefu mpaka saa 6:00 usiku leo. Tuzungumze kidogo mustakabali wa Taifa letu. Mungu wa Mbinguni Aliyehai Awabariki !
View attachment 3454258
Mkata switch sasa hivi anapigwa chenga sanaaa 😅😅 Pole pole kasema kuanzia sasa hadi sita, mkata switch atajikuta ana keshaMuangalie Mkata swichi