Polepole: Nilivyosema vya CCM hivyo ni vidogo, nilikuwa ni mwage hadharani mambo yanahujumu maslai ya taifa letu

Huyu kichwa pumbu naona siku hizi anahemea ugali na views za youtube...
Sio kwa huu upupu wa kila siku kuwa hewani....
 
Matamko, +matamko mwisho yanakuwa matako
Bwahabwahabwahaaahaaaaaaaa!!!!
Kwakuwa wenyewe, nyumbu wa lissu, yanawapa faraja kuwa yatawezesha lissu kuingia ikulu basi acha kina pole pole waendelee kujilia tone tone
 
Sakata la hela za korona ni dhahiri zilipigwa. ___ hata ndugai aliwahi gusia hili.

Ccm
 
Hahahahahaa!
Ahsante Mungu wangu kwa kutonifanya kuwa nyumbu. Yaani ningekuwa kama hawa yaani?!!!! Kuchezewa akili na haka kanjiti kalikobemendwa. Hapana.
Too much anything is..................
 
Mpuuzieni huyo Jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…